Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI YAONYA WANAOTUMIA MAKAO YA WATOTO KUJINUFAISHA

Written by Alex Sonna
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu akizungumza na watumishi wa Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini yaliyopo jijini Dodoma alipofanya ziara katika Makao hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini Sister Euphrasia Julius alipofanya ziara katika Makao hayo yaliyopo jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu akisalimiana na baadhi ya Watoto wanaolelewa katika Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini mara baada ya ziara yake katika Makao hayo jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu akizungumza na watumishi wa Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini yaliyopo jijini Dodoma alipofanya ziara katika Makao hayo.
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando akitoa maelezo kuhusu uratibu wa Makao ya Watoto nchini wakati wa ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawakr na Makundi Maalum Dkt. John Jingu katika Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini yaliyopo jijini Dodoma,
Msimamizi wa Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini Sister Euphrasia Julius akitoa taarifa ya uendeshaji wa Makao hayo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu iliyofanyika jijini Dodoma
Baadhi ya Watoto wanaolelewa katika Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini killichopo jijini Dodoma wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu alipofanya ziara katika Makao hayo 
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM
Na Raymond Mushumbusi WMJJWM Dodoma
Serikali imewaonya wamiliki wa Makao ya kulea watoto nchini waliogeuza Makao hayo kujinufaisha kwa misaada mbalimbali inayotolewa hasa ya fedha.
Onyo hilo limetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu alipotembelea Kijiji cha Matumaini kinacholea watoto jijini Dodoma Agosti 23, 2023.
Dkt. Jingu amesema kuwa baadhi ya wamiliki wa Makao ya kulea watoto wamekuwa wakifanya hivyo na hata kupiga picha za watoto kwa ajili ya kupata misaada ambayo haiwafikii wahusika na fedha zinazotolewa na wafadhili wenye mapenzi mema huzitumia kujinufaisha.
“Mnaotumia Makao ya Watoto kujinufasha tunawamulika, tutawafuatilia na tutawachukulia hatua kali kwa sababu mnakiuka Sheria na taratibu zilizopo. Huu ni wizi na ukatili dhidi ya Watoto na tunawahujumu waliotoka hiyo misaada” alisisitiza Dkt. Jingu.
Dkt. Jingu ameongeza kuwa mtoto anatakiwa kulelewa na kutunzwa katika familia na jamii ila ikitokea mtoto amepata changamoto za maisha na kujikuta yupo katika mazingira ambao anakosa Malezi katika familia ndipo Makao yanatumika kuwalea.
“Mpaka sasa kuna jumla ya Makao ya kulea watoto 341 ambayo yanatoa huduma ya kulea watoto waliopatwa na changamoto zilizosababisha kutolelewa katika familia” alisema Dkt. Jingu
Pia ameyataka Makao ya kulea Watoto nchini kuzingatia suala la Malezi hasa katika tamaduni na maadili ya kitanzania ili kujenga watoto walio na maadili mema hivyo kujenga taifa lenye maadili.
“Makao ya watoto sio biashara bali ni sehemu ya kuwasaidia watoto ambao hawajapata fursa za kulelewa katika familia, ni njia mbalada ya malezi kwa watoto wetu” alisema Dkt. Jingu
Vilevile amewataka wamiliki wa Makao ya Watoto ambao wameshindwa kuendesha Makao hayo wasing’ang’anie kukaa na watoto bali watoe taarifa kwa Maafisa Ustawi wa Jamii walipo katika maeneo yao ili watoto hao wapate sehemu nyingine watakazopata malezi.
Aidha Dkt. Jingu ameupongeza uongozi wa Makao ya kulea watoto ya Kijiji cha Matumaini kwa kazi nzuri ya kuwalea na kuwatunza watoto waliopo katika Makao hayo kama watoto walio katika familia zao kwa kufuata Sheria na taratibu za uendeshaji wa Makao ya kuelea Watoto nchini.
Akisoma taarifa ya Kijiji cha Matumaini mmoja wa walezi wa Makao hayo Sister Euphrasia Julius amesema kuwa Malezi ya Watoto katika Makao hayo ni ya Wana ndoa na kifamilia wa kujitolea kuwalea watoto bila kuwaasili kwa muda wakakaopenda ili watoto hao waweze kupata Malezi ya Baba na Mama kama watoto wengine katika familia.
Awali akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando amesema lengo ya kutembelea Makao ya Watoto ni kuangalia utendaji kazi wake na mazingira wanayolelewa Watoto kama yanakidhi vigezo, kanuni, miongozo, Sheria na madhumuni ya uanzishaji wa Makao ya kulea watoto.
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ipo katika ufuatiliaji wa Makao ya kulea watoto ambayo hayafuati Sheria na taratibu za uendeshaji wa Makao hayo nchini na itachukua Sheria kwa wamiliki wote ambao watabainika kufanya vitendo hivyo.

About the author

Alex Sonna