Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

VETA YAANDAA KONGAMANO LA UJUZI NA AJIRA JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna
KAIMU  Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Abdallah  Ngodu  akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano la ajira linaloandaliwa kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ) litakalofanyika Agosti 24 jijini Dodoma.
Mkuu wa Chuo Cha ufundi Cha  Veta Dodoma Stanslaus Ntibara,akizungumza kuelekea katika kuhusu kongamano la ajira linaloandaliwa kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ) litakalofanyika Agosti 24 jijini Dodoma.

Mshauri wa Ufundi, Leah Dotto ,akizungumza kuelekea katika kuhusu kongamano la ajira linaloandaliwa kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ) litakalofanyika Agosti 24 jijini Dodoma.

 

Na.Alex Sonna-DODOMA

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inatarajia   kuwakutanisha wahitimu wa Programu ya Kukuza Ajira na Ujuzi kwa Maendeleo Afrika (E4D) na waajiri ili kushirikishana katika fursa za soko la ajira kwa kuandaa kongamano litakalofanyika jijini Dodoma.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Abdallah  Ngodu wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano hilo linaloandaliwa kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ) litakalofanyika Agosti 24 jijini Dodoma.

 Bw.Ngodu amesma hadi sasa jumla ya vijana 3,258 wamenufaika na mafunzo katika vyuo vya VETA vya Dodoma, Manyara, Lindi, Singida, Mikumi, Gorowa na Dakawa katika awamu nne (4) huku udahili wa awamu ya tano ukiendelea na mafunzo hayo yametolewa kwa wiki nane (8) vyuoni na wiki nane (8) mahali pa kazi.

“Inatarajiwa nguvukazi yenye ujuzi kutokana na mradi wa E4D itatumika katika kukuza ajira kwenye miradi ya kimkakati ya uwekezaji kama vile bomba la mafuta, bwawa la Nyerere na Treni ya mwendokasi.Mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka 2023,”amesema Bw.Ngodu 

Amesema kuwa wakati wa kongamano hilo kutakuwa na maonesho ambayo yamelenga kujenga uelewa juu ya fursa za ufundi stadi zilizopo kwenye Mradi, kukuza uwezo wa kuajirika (Kujiajiri/Kuajirika) kwa wahitimu/wanufaika wa kozi zinazotolewa na Vyuo vya VETA chini ya Mradi wa E4DT.

Aidha amesema kuwa kupitia Kongamano hilo wanafunzi/wanufaika watakutanishwa na waajiri ili waweze kushirikishana kuhusu taarifa za soko la ajira. Halikadhalika Wahitimu wataonesha umahiri wa ujuzi wao katika bidhaa walizotengeneza na miradi yao wanayotekeleza,”
Na kuongeza kuwa “kupitia kongamano hili wananchi watapata fursa ya kujionea shughuli zinazofanywa na wahitimu/wanufaika wa mradi wa E4DT pamoja na kupata taarifa juu ya fursa za mafunzo ya ufundi stadi zinazopatikana kwenye vyuo vya VETA nchini,”ameeleza Bw.Ngodu
Hata hivyo Bw.Ngodu amebainisha kuwa utekelezaji wa Mradi wa E4D unahusisha ushiriki wa viwanda ambapo mpaka sasa viwanda/makampuni zaidi ya 20 yamethibitisha kushiriki na kuonesha huduma na bidhaa zao kupitia kongamano hilo.
“Tunaamini kuwa makampuni pia yatapata fursa muhimu ya kuthibitishiwa kwa uhalisia kuhusu umahiri na ujuzi wa wahitimu/wanufaika wa mafunzo ya ufundi stadi ili wajenge imani na hatimaye kuwapatia fursa za ajira vijana hao,” amesema Ngodu
Amesema kwenye kongamno hilo pia kutakuwa na taasisi za fedha ambazo zitatoa fursa za uwezeshwaji hususani mikopo inayoweza kuwanufaisha vijana waliopata ujuzi ili wawe na mitaji ya kuendesha shughuli za uzalishaji na kuongeza vipato na ajira endelevu.
Tanzania ni miongoni mwa nchi sita za Afrika zinazotekeleza mradi wa Stadi za Ajira kwa Maendeleo Afrika (E4D) unaofadhiliwa na Wizara ya Shirikisho la Ujerumani la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (BMZ) na Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo la Korea (KOICA). Mradi wa E4DT ulianza kutekelezwa mwezi Mei, 2022, ukilenga kutoa mafunzo ya muda mfupi kwa vijana 4000 nchini, katika fani za Ufundi Bomba wa majumbani (Domestic Plumbing), Ufundi Bomba Viwandani (Industrial Plumbing), Ufundi wa Uchomeleaji Vyuma Viwandani (Industrial Welding) na Ufundi wa Mekatroniki (Mechatronic). 
Kwa upande wake, Mkuu wa Chuo Cha ufundi Cha  Veta Dodoma Stanslaus Ntibara ,amesema hadi kufikia tarehe 19 mwezi huu  jumla ya wanafunzi 1806  wa Mkoa wa Dodoma waliokuwa wameshahitimu mafunzo hayo.

About the author

Alex Sonna