Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI CHINA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji 11 kutoka Jamhuri ya Watu wa China, ukiongozwa na Mkuu wa Msafara huo Bw.William Chu (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,22-8-2023.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor