Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KHAMIS KUSHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipokea taarifa ya Mkutano wa 19 Wataalamu kutoka nchi za Afrika mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 19 wa Baraza ka Mawaziri wa Mazingira wa Aafrika unaotarajiwa kufanyika jijini Addis Ababa kuanzia leo tarehe 17 hadi 18 Agosti, 2023.

About the author

mzalendoeditor