Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA ATETA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Agosti 16, 2023 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakalishi Mkazi wa UNICEF Tanzania Elke Wisch

Wisch akiambatana na ujumbe wake amefika ofisi za Wizara kwa lengo la kujitambulisha.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo ambapo wamekubaliana kuendeleza ushirikiano katika kuimarisha sekta ya elimu

 

About the author

mzalendoeditor