Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

TFS YAPANDISHA HADHI MISITU 15 KUWA HIFADHI YA TAIFA KUTUMIKA KATIKA UTALII NA UWEKEZAJI

Written by Alex Sonna
Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS), Prof.Dos Santos Silayo, akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari leo Agosti 16,2023 jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wakala huo na Mwelekeo wa utekelezaji  kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.
Na.Alex Sonna-DODOMA
WAKALA wa Misitu Tanzania( TFS ) umefanikiwa kupandisha hadhi Misitu ya hifadhi 15 kuwa Misitu ya hifadhi ya Taifa na Misitu ya hifadhi za mazingira asilia mitano 5 yenye ukubwa wa hekta 58,216 katika kipindi Cha Mwaka 20222023 ambapo Upandishaji hadhi huo,utafanya Misitu hiyo kutumiwa kwa shughuli za utalii na uwekezaji.
Hayo ameyasema leo Agosti 16,2023 jijini Dodoma na Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS), Prof.Dos Santos Silayo,wakati akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wakala huo na Mwelekeo wa utekelezaji  kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.
Prof. Dos Santos, ameitaja Misitu hiyo kuwa  ni; Kindoroko (Mwanga), Nou (Mbulu/Babati), Uvinza (Uvinza), East Matogoro (Songea) na Hassama Hill (Mbulu). 

Kamishna huyo ameeleza kuwa kufuatia juhudi za serikali ikiwemo ubunifu wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wa kuandaa filamu ya “Tanzania the Royal Tour” ambayo imeitangaza Tanzania  ndani na nje ya nchi kwa kiasi kikubwa, TFS imejipanga kutumia fursa hiyo kuongeza tija katika uhifadhi, utalii na ukusanyaji maduhuli.

 “Juhudi  hizo zimesaidia  kuongezeka kwa idadi ya watalii waliotembelea vivutio vya utalii ikolojia ambapo hadi kufikia Juni 2023 jumla ya watalii 242,824 walitembelea vivutio hivyo,”amesema

Idadi hii ni ongezeko la asilimia 60.8 ukilinganisha na watalii 152,002 waliotembelea vivutio hivyo kwa kipindi hicho kwa mwaka 2021. Jumla ya sh.bilioni  1.3  zilikusanywa ikilinganishwa na sh.milioni 603.3 zilizokusanywa mwaka uliopita ikiwa ni ongezeko la Asilimia 126.9.”

Amebainisha  kuwa :”Katika kipindi cha miaka miwili TFS tumeanzisha shamba jipya moja la Makere Kasulu-Kigoma, na kufanya upanuzi wa mashamba mawili,

Katika hatua nyingine, profesa Silayo amesema katika mwaka wa fedha uliopita, TFS ilizalisha jumla ya tani 25.9 za mbegu za miti na kuotesha miche  milioni 32.7 ya aina mbalimbali ambayo ilipandwa katika mashamba 24 ya serikali na mingine kugawiwa kwa watu binafsi, taasisi na mashirika mbalimbali kwa ajili ya kupandwa katika maeneo yao.

Amesema  kuwa hadi sasa, TFS imepanda miti katika hekta 6,909 na kurudishia miti iliyokufa kwenye hekta 2,434 pamoja na kuendeleza mashamba ya miti kwa kupalilia hekta 31,197, kupogolea hekta 8,353 na kupunguzia miti kwenye hekta 2,785.

”Wakala umeandaa mkakati wa usimamizi na uendelezaji wa mashamba ya miti ya serikali wa miaka 30 kuanzia 2021 – 2050  ambao umelenga kupanua wigo wa aina ya miti ya ikiwemo ile ya madawa kama vile Prunus africana na mpira . Miti hii imeanza kupandwa katika mashamba ya Mbizi, Wino, Rongai, Saohill, Iyondo Mswima, Meru na Shume,”ameeleza

About the author

Alex Sonna