Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI AFUNGUA KITUO CHA AFYA BUMBWINI MAKOBA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 14-8-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Iddi Ali Ame na (kushoto kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Bumbwini  Zanzibar Mhe. Mbarouk Juma Khatib na Mwakilishi wa Jimbo la Bumbwini Mhe. Mtumwa .P.Yussuf na Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe.Nassor Ahmed Mazui.(Picha na Ikulu).

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Viongozi wengine , alipowasili katika viwanja vya Kituo cha Afya Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Kituo hicho uliofanyika leo 14-8-2023.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Afya Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja na (kushoto ) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 14-8-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Iddi Ali Ame na (kushoto kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Bumbwini  Zanzibar Mhe. Mbarouk Juma Khatib na Mwakilishi wa Jimbo la Bumbwini Mhe. Mtumwa .P.Yussuf na Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe.Nassor Ahmed Mazui.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Muunguzi Mkunga katika Kituo cha Afya Makoba.Rehema Ramadhan Abdalla, akitowa maelezo wakati akitembela chumba cha kuzalia katika Kituo hicho, baada ya kukifungua leo 14-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.(Picha na Ikulu).

About the author

mzalendoeditor