Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA KUTOKA MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023. Mhe. Rais Samia aliwaandalia Madaktari hao wanaotoa huduma ya upasuaji katika Hospitali ya Selian Lutheran Mkoani Arusha Chakula cha mchana kuwashukuru kwa moyo wao wa kujitolea kuwasaidia Watanzania katika sekta hiyo ya Afya
Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani, Tanzania pamoja na wageni wengine wakiwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya hafla ya Chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru kutokana na mchango wao kwa jamii tarehe 13 Agosti, 2023.
Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria hafla ya Chakula cha mchana kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, viongozi wengine wa Serikali kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia picha za Wanafunzi wa Shule ya St. Lucky Vincent waliopata ajali tarehe 06 Mei, 2007 kutoka kwenye simu ya mmoja ya Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani Kevin Negaard, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert mara baada ya hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 202

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka pamoja na baadhi ya timu ya Madaktari wa Tanzania wanaoshirikiana na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka Marekani mara baada ya hafla ya chakula cha Mchana, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert, Lazaro Nyalandu pamoja na Ujumbe wa Wizara ya Afya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

About the author

mzalendoeditor