Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

GGML YADHIBITISHA DHAMIRA YAKE YA KUENDELEZA WAHANDISI WANAWAKE

Written by Alex Sonna

Msimamizi wa Tathmini kutoka GGML (kulia) Janeth Luponelo,akimueleza Rais wa Zanzibar (katikati) Dk. Hussein Ali Mwinyi namna wanawake wa GGML wanavyowezesha kukua kitaaluma. Rais Dk. Mwinyi alizindua Kongamano la nane la wahandisi wanawake (TAWECE) lililofanyika mkoa wa Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar.

Janeth Luponelo, Msimamizi wa Tathmini kutoka GGML (kulia) akimpatia zawadi Rais wa Zanzibar (katikati) Dk. Hussein Ali Mwinyi katika Kongamano la nane la wahandisi wanawake (TAWECE) lililozinduliwa na Rais Dk. Mwinyi mkoa wa Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar.

Makamu Rais wa AngloGold Ashanti- GGML anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo akizungumza katika kongamano hilo.

NA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML), imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuongeza idadi ya ushiriki wa wanawake katika maendeleo ya nchi kwa kuwawezesha kuimudu vema fani ya uhandisi.

Hayo yamebainishwa juzi na Makamu Rais wa AngloGold Ashanti – GGML anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo wakati akizungumza katika Kongamano la nane la wahandisi wanawake (TAWECE) lililofanyika mkoa wa Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar.

Alisema GGML inatambua na kuthamini umuhimu wa wanawake katika fani ya uhandisi hasa kwa kuzingatia ni wabunifu wa kipekee pindi wanapokabidhiwa jukumu ndio maana haikusita kudhamini kongamano hilo lililoshirikisha wanawake wahandisi zaidi ya 800.

Alisema GGML imejikita kwenye utofauti, usawa na ujumuishaji (DE & I), ambayo ndio kiini cha mkakati wa kampuni hiyo kwenye usimamizi wa wafanyakazi wake.

“Tunaamini uwepo wa wahandisi wanawake unaongeza uwezo wa kampuni yetu, na tumeendelea kuweka mazingira ya kuheshimu tofauti na kuruhusu wafanyakazi wote kufikia uwezo wao bila kujali jinsia wala historia yao,” alisema Shayo.

Alisema GGML iliunga mkono kikamilifu mipango ambayo iliwahimiza wanawake kusoma taaluma ya uhandisi kwa kutoa ufadhili wa masomo, ushauri na mafunzo ya kazi ili kuondokana na dhana potofu za kijinsia na kuunda fursa sawa kwa wote.

“Kampuni ilifanya kazi ya kuongeza uwakilishi wa wanawake katika sekta ya madini na kuchangia pakubwa katika juhudi za maendeleo, hasa katika elimu. Iliwekeza katika miradi iliyokuza elimu ya sayansi kwa wasichana, na kuwawezesha kushiriki kikamilifu na kufikia malengo yao katika nyanja za sayansi na uhandisi,” alisem Shayo.

Aidha, akifungua kongamano hilo, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ambaye alikuwa mgeni rasmi alisema, Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ya Mapinduzi ya Zanzibar, zinatambua na kuthamini mchango wa wahandisi wanawake nchini kutokana na kazi za uhandisi wanazozifanya.

Alisema makongamano kama hayo yamekuwa na mchango mkubwa wa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuendeleza ubunifu wa sanyansi na kuleta chachu ya maendeleo ya Taifa ikiwemo ujenzi wa viwanda.

Alisema, fani ya uhandisi ina umuhimu mkubwa kwa ustawi wa nchi pia ni uti wa mgongo wa shughuli nyingi za kiuchumi. Hivyo aliwataka vijana na wanawake kuzitumia fursa ziliopo ili kuyafikia malengo yao.

Pia, aliwashauri wahandisi wanawake kufungua kampuni na kujiajiri kupitia ukandarasi na uhandisi nakueleza hatua hiyo itachangia sana maendeleo ya nchi kwa kujenga miundombinu imara itakayodumu kwa muda uliokusudiwa.

Rais wa Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET), Mhandisi Gemma Modu alisema takwimu zinaonyesha kuwa ushiriki wa wanawake katika uhandisi bado ni mdogo ikilinganishwa na wanaume.

Aliisihi jamii kuachana na mitazamo potofu juu ya wahandisi wanawake kwa kuangalia mapungufu yao yanayotokana maumbile ya jinsia zao zikiwemo uzazi na uhalisia wao, na kuwataka waajiri kuona umuhimu wao na kutambua mchango wao kwa maendeleo ya taifa kwa kuwatumia kwenye kazi za vitendo badala ya kuwapa kazi za ofisini pekee.

Uzinduzi wa Kongamano la nane la wanahandisi wanawake Tanzania kwa mwaka huu, 2023 ulikwenda sambamba kaulimbiu isemayo “Nguvu ya Ushirikishwaji na Uhusishwaji wa Wanawake katika kazi za Kihandisi”

About the author

Alex Sonna