Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

marsbahis

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA ZAHANATI YA LYABUKANDE, MWABENDA NA HOSPITALI YA WILAYA YA SHINYANGA

Written by Alex Sonna

 

Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio (wa pili kushoto) akimkabidhi kitanda na godoro, Katibu Tawala wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Saidi Kitinga (kushoto) kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga

 

Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio (katikati) akimkabidhi kitanda na godoro, Katibu Tawala wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Saidi Kitinga (kushoto) kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga
 
Na MWANDISHI WETU – MALUNDE 1 BLOG
 
Benki ya NMB Kanda ya Magharibi imetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 25.8 (Tshs 25,844, 075/=) katika  zahanati ya Lyabukande na Mwabenda pamoja na Hospitali ya wilaya ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya ushiriki wa Benki hiyo katika maendeleo ya jamii  kwani ina wajibu wa kuhakikisha jamii inayowazunguka inafaidika kutokana na faida wanayoipata.
 
 
Akizungumza leo Jumatatu Agosti 7,2023 wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba hivyo, Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio amesema Benki ya NMB ni kinara katika kujali na kujihusisha na masuala mbalimbali ya jamii hapa nchini na kwamba changamoto za sekta ya afya Tanzania kwa benki ya NMB ni jambo la kipaumbele, na hii ni kutokana na ukweli kwamba afya ni mtaji wa maendeleo kwa taifa lolote hapa duniani.
 
 
Amesema katika Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga wamekabidhi Wheel chairs 4, Stretchers 4,Vitanda vya hospitali 10,Godoro za Hospitali 10, Mashuka 50, vyenye thamani ya Tshs 12,347,350/=, kwa Zahanati ya Lyabukande ni Wheel chairs 2, Vitanda vya kujifungulia 2 Vitanda vya Hospitali 5, Magodoro ya hospitali 5, mashuka 50,vyenye thamani ya Tshs 6,852,425/= na kwa zahanati ya Mwabenda wheel chair 2, vitanda vya kujifungulia 2, Vitanda vya Hospitali 5, magodoro ya hospitali 5, mashuka 50,vyenye thamani ya Tshs 6,852,425/= .
“Tulipopata maombi haya ya kuchangia maendeleo ya afya katika Wilaya ya Shinyanga, tulifarijika na kuamua mara moja kuja kushirikiana nanyi ili kuwa chachu ya maendeleo ya sekta hii muhimu kwa jamii yetu. Na hasa katika Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga na hususani katika hospitali ya Wilaya ya Shinyanga, Zahanati ya Lyabukande na Zahanati ya Mwabenda. Jumla ya msaada huu tuliotoa una thamani ya Tshs 25,844,075”,ameeleza Urio.
 
 
“Benki ya NMB imekuwa ikipokea maombi mengi sana ya kuchangia katika miradi ya jamu, lakini benki imejikita zaidi katika maeneo ya elimu, afya, na misaada ya hali na mali katika nyakati ngumu kama za majanga. Benki NMB tumekuwa mstari wa mbele kuchangia huduma za kijamii kwa lengo la kurejesha sehemu ya faida yetu kwa jamii. Ni kwa zaidi ya miaka saba mfululizo tumekuwa tukitenga asilimia 1% ya faida yetu kama sehemu ya uwajibikaji kwa jamii inayotunzunguka”,ameeleza Urio.
“Tunatambua juhudi za Serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kusimamia upatikanaji wa huduma bora za afya kwa nguvu zote kwa kuboresha mazingira ya utoaji wa huduma hizi mjini na vijijini; hatuna budi kuipongeza Serikali kwa hilo. Pamoja na makubwa mengi yanayofanywa na Serikali, sisi kama wadau tunao wajibu wa kuunga mkono juhudi hizi za maendeleo kwa kusaidia jamii zetu kwani jamii hizi ndio zimeifanya benki ya NMB kuwa hapa ilipo na kubwa kuliko benki yoyote hapa nchini. Tunatambua kuwa ni kupitia jamii ndipo wateja wetu wengi wanapotoka, kwa hiyo kurudisha sehemu ya faida kwa jamii ni utamaduni wetu”,ameongeza Urio.
 
 
Aidha amebainisha kuwa, kwa miaka kadhaa sasa, NMB imekuwa ikisaidia miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi kwa kujikita zaidi kwenye miradi ya elimu (madawati na vifaa vya kuezeka), afya (vitanda, magodoro yake na vifaa vingine vya kusaidia matibabu) na kusaidia majanga yanayoipata nchi ya Tanzania.
 
 
Urio amefafanua kuwa Benki NMB ndiyo benki inayoongoza nchini huku tukiwa na matawi 229 , mashine za ATM zaidi ya 780 nchi nzima, NMB Wakala zaidi ya 20,000 pamoja na idadi ya wateja zaidi ya milioni 6 idadi ambayo ni hazina kubwa ukilinganisha na benki nyingine hapa nchini lakini pia NMB imezifikia Wilaya zote nchini kwa asilimia 100% na tunaendelea kuboresha huduma za kibenki kwa njia ya mitandao ili kuwafikia wateja wengi zaidi kwa njia rahisi na salama.
Akipokea vifaa tiba hivyo kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Katibu Tawala wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Saidi Kitinga ameishukuru Benki ya NMB kwa msaada huo katika sekta ya afya huku akiwataka wahudumu wa afya kuvitunza vifaa hivyo ili viwe na manufaa na kuleta tija iliyokusudiwa.
 
 
Nao Diwani wa kata ya Iselamagazi Isack Sengerema na diwani wa Kata ya Lyabukande Luhende William Kawiza wameishukuru Benki ya NMB kwa kuendelea kuikumbuka sekta ya afya katika wilaya ya Shinyanga.

About the author

Alex Sonna