Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MIPANGO NA UWEKEZAJI TANZANIA MHE.PROF. KITILA MKUMBO IKULU

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Tanzania Mhe.Prof. Kitila Mkumbo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Tanzania Mhe.Prof. Kitila Mkumbo (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Kupongeza “ Kwa kuendelea kuleta mageuzi ya kiuchumi kupitia Uchumi wa Buluu”, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Tanzania Mhe.Prof.Kitila Mkumbo,baada ya kumaliza mazungumzo na kujitambulisha alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Tanzania Mhe.Prof. Kitila Mkumbo, baada ya kumaliza mazungumzo na kujitambulisha alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 

About the author

mzalendoeditor