Featured Kitaifa

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YATOA ELIMU VIWANYA VYA NANE NANE

Written by mzalendoeditor

Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Martha Ngalowera akitoa elimu ya Muungano na Mazingira kwa wananchi waliotembelea banda Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John
Mwakangale jijini Mbeya

Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Lungo akitoa ufafanuzi kuhusu wa masuala ya mazingira kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John
Mwakangale jijini Mbeya

About the author

mzalendoeditor