Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

DIASPORA TUNZENI HESHIMA YA TANZANIA – MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini Urusi ambako alimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hasan kwenye Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo maalum ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Latifa Ismail ambaye ni Mhasibu wa Umoja wa Watanzania  waishio St. Petersburg nchini Urusi wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Lotte nchini humo, Julai 29, 2023.Tuzo hiyo ni yakumpongeza Mheshimiwa Rais Samia kwa uongozi  na utawala bora. Wa pili kushoto ni Katibu wa Umoja huo, Deogratias Kalulu

Baadhi ya Watanzania waishio nchini Urusi  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye ukumbi wa hoteli ya Lotte, St. Petersburg nchini Urusi, Julai 29, 2023. Mheshimiwa Waziri Mkuu alikwenda Urusi kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwenye Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi. Wengine pichani ni baadhi ya viongozi na watendaji  wa serikali walioambatana na Waziri Mkuu katika ziara hiyo.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanadiaspora wa Tanzania wazingatie sheria za nchi wanazoishi ili waendelee kutunza heshima ya nchi yao.

Ametoa wito huo wakati akizungumza na Watanzania waishio St. Petersburg, Urusi ambako alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi.

“Baadhi yenu mko hapa mnatafuta fursa, na wengine wengi wako hapa kwa masomo. Zingatieni sheria za nchi hii, tunzeni heshima ya Tanzania. Teteeni Taifa la Tanzania, zungumzieni fursa zilizopo nyumbani,” alisema Waziri Mkuu

Akisisitiza umuhimu wa kukitangaza Kiswahili, Waziri Mkuu alisema: “Kiswahili kiendelee kutangazwa kwa bidii kwani Kiswahili ni fursa na Kiswahili ni ajira. Tukitangaze Kiswahili na tushike nafasi za kutangaza lugha yetu kwa kasi kwa sababu tuna historia ya muda mrefu na Urusi ambao wamekuwa wakitumia lugha hii,” alisema.

Alisema katika baadhi ya vikao vyake na wawekezaji wa Kirusi, hakupata shida ya mkalimani kwa sababu walikuwa na mtu wao ambaye anatafsiri moja kwa moja kutoka Kirusi kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kirusi. “Lakini na sisi ubalozini kwetu tuna Afisa Uchumi ambaye alitusaidia kutafsiri Kiswahili kwenda Kirusi kwenye baadhi ya vikao. Tena aliongea kwa ufasaha zaidi. Tusiache fursa hii itupite,” aliwasisitiza.

Waziri Mkuu alitumia fursa hiyo kuwapa picha halisi ya maendeleo na kiuchumi yanayofanyika nchini chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zikiwemo sekta za elimu, afya, miundombinu, utalii, kilimo, maji na akawahakikishia kwamba Tanzania iko salama, wao waweke bidii kwenye masomo yao.

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na washiriki wa kikao hicho, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Mbarouk alisema mbali na kazi ya kudumisha mahusiano ya kirafiki na kidiplomasia kati ya Tanzania na nchi nyingine, Serikali imeendelea kuratibu masuala ya Diaspora.

“Hivi sasa, wizara imekamilisha Mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001, ambayo inajumuisha masuala ya Diaspora. Ili kuondokana na tatizo la ukosefu wa takwimu sahihi za idadi ya Diaspora wetu kote ulimwenguni, tarehe 22 Mei, 2023 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax alizindua rasmi Mfumo wa Kuwasajili Diaspora Kidigitali. Mfumo huo, uliotengenezwa na Wataalam Wazawa utasaidia kurahisisha usajili wa Diaspora wenye asili ya Tanzania pamoja na wanafunzi.”

“Ni dhahiri kuwa Diaspora waliopo katika eneo zima la uwakilishi wa ubalozi wetu hapa Urusi, sasa hawatalazimika tena kusafiri kwenda ubalozini Moscow ili kujisajili. Napenda kutumia fursa hii kuwahamasisha Diaspora wote wajisajili kwa wingi.”

Alisema ana imani kuwa takwimu zitakazopatikana kupitia mfumo huo, zitaiwezesha Serikali kupanga na kuandaa kwa usahihi mahitaji yanayohitajika ili kuwapatia Diaspora huduma wanazozihitaji, ikiwemo huduma za kibenki, Hati za Kusafiria, Vitambulisho vya Taifa na vitambulisho rasmi vya utambuzi wa diaspora wakati wa utekelezaji wa Hadhi Maalum.

“Hadi sasa, mfumo huu umetuwezesha kufahamu kuwa tunao diaspora wenye asili ya Tanzania katika nchi za Vanuatu, Albania, Antigua na Barbuda, Kazakhstan, Azerbaijan pamoja na America Samoa ambazo nchi yetu haina uwakilishi wa Kibalozi,” alisema.

Akisoma risala yao, Mwenyekiti wa Diaspora katika Shirikisho la Urusi na Nchi huru za Jumuiya ya Madola (CIS), Pascal Gura alisema jumuiya yao (TADRU- CIS), ina wanachama zaidi ya 200 walioko sehemu tofauti za nchi hiyo.

Alisema kwa sasa wanadiaspora hao wanakabiliwa na changamoto ya mifumo ya kifedha kutokana na vikwazo vya kiuchumi. “Changamoto hii inatokana na Shirikisho la Urusi kuondolewa katika mfumo wa uhamishaji fedha (Swift) ambao unatumiwa na mabenki kupitia kadi za ‘‘Visa na Master card’’.

“Kwa sasa kadi pekee zinazokubali katika baadhi ya mabenki katika Shirikisho la Urusi ni kadi zinazotumia mfumo wa Union Pay. Hivyo, tunaomba benki za Kitanzania zipanue wigo kwa kutoa kadi zenye mfumo wa Union Pay kwa kuwa itaimarisha pia fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Urusi,” alisema.

Wanadiaspora hao pia walimkabidhi Waziri Mkuu tuzo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutambua juhudi zake katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mkutano huo ulihudhuriwa na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Tabia Maulid Mwita, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Mbarouk, Naibu wa Waziri wa Fedha na Mipango wa SMZ, Ally Suleiman Ameir, Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Balozi Fredrick Kibuta na watendaji wengine wa Serikali.

About the author

Alex Sonna