Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

TUTAENDELEA KUKUZA UCHUMI WA AFRIKA – PUTIN

Written by Alex Sonna

WAZIRI MKUU amesema Serikali ya Urusi imeahidi kushirikiana na Afrika kuboresha uchumi ikiwemo Tanzania.

“Mwelekeo wa mkutano wa leo ilikuwa ni kuona namna gani tunaweza kuboresha uchumi wa nchi za Afrika kwa pamoja na Urusi. Wao wametoa mwelekeo wa namna ambavyo wataweza kushirikiana na nchi za Afrika kuboresha uchumi wa kila nchi na sisi tumeeleza mkakati wa kiuchumi kwenye nchi yetu ambao Rais Putin ameuridhia.

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Julai 28, 2023) baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi ambako alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mkutano huo umefanyika kwenye kituo cha mikutano na maonesho cha Expo Forum, jijini St. Petersburg, Urusi. Akizungumza

Waziri Mkuu amesema Tanzania itaendelea kuimarisha miundombinu ya usafirishaji kwa lengo la kuboresha uchumi na biashara kwa kutumia rasilmali zake ikiwemo madini, maliasili na kilimo hasa upatikanaji wa mbolea. “Tumesisitiza pia matumizi ya nishati mbadala kama njia muhimu ya kuwawezesha wananchi wa vijijini ili nao wamudu kutumia nishati mbadala kukuza uchumi wao,” amesema.

Amelitaja eneo jingine kuwa ni kukuza biashara ya mazao baina ya Afrika na Urusi ambapo yenyewe inaweza kuwa soko la moja kwa moja ama kwa kuwatumia marafiki zake. “Ili kufikia hayo, jitihada za kila nchi kwenye kilimo zimesisitizwa. Tanzania tumeeleza mkakati wa kukuza kilimo ikiwemo umwagiliaji. Pia tunahitaji mbolea, madawa na vitendea kazi ili tufanikiwe kwa kasi zaidi.”

Waziri Mkuu aliwaeleza viongozi hao wa Afrika juu ya Mkakati wa Rais Dkt Samia wa kutoa elimu bure na vifaa vya kufundishia kwa lengo la kuwapunguzia mzigo wazazi.

Mapema, akifungua mkutano huo, Rais wa Urusi, Vladmiri Putin alisema nchi za Afrika zimekuwa na mahusiano mazuri na ya muda mrefu na Urusi na kwamba nchi hiyo imekuwa ikiendelea kutoa misaada bila vikwazo kwenye maeneo mbalimbali.

Akitoa mfano, Rais Putin amesema nchi 40 kutoka Afrika zimenufaika na misaada ya kijeshi ikiwemo mafunzo. “Ukaribu wa mahusiano kati ya Afrika na Urusi unazidi kuongezeka. Tunatarajia kufungua balozi zetu kwenye nchi nyingine kama vile Burkina Faso na Equatorial Guinea. Pia tunatarajia kufufua vituo vya utamaduni vya Kirusi. Hivi sasa, vituo kama hivyo vinafanya kazi kwenye nchi nane tu,” alisema.

Alisema nchi hiyo itaendelea kutoa misaada kwenye sekta ya kilimo ili kuimarisha upatikanaji wa chakula. “Jana ndiyo maana nilitoa ahadi ya kuzipatia nafaka nchi sita tani kati ya 25,000 hadi 50,000 na kwamba zitasafirishwa bure.” 

Nchi hizo ni Mali, Burkina Faso, Zimbabwe, Jamhuri ya Kati, Eritrea na Somalia. Alisema Urusi imepanga kutoa dola za marekani milioni 90 kwa nchi za Afrika kulingana na maombi ambayo yamepokelewa kutoka Umoja wa Afrika (AU). 

Akichangia mada kwenye mkutano huo, Rais wa Comoro, Azali Assoumani ambaye pia ni Mwenyekiti wa AU na Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo alisema vijana wa kiafrika wana umahiri katika fani mbalimbali na wanahitaji kupata programu za kuwawezesha kimitaji (start-ups programmes). 

“Kuna suala la utoaji mafunzo na teknolojia za kidijitali ambalo Urusi imejaliwa kuwa nalo. Tunahitaji tuwe na mpango madhubuti ambao utawezesha kuwajengea uwezo vijana wengi wa Kiafrika tulionao,” alisisitiza. 

Naye Rais wa Uganda, Yoweri Museveni alisema mwishoni mwa mkutano huo watoke na tamko la kisera ya kwamba mataifa ya nje yanapaswa kununua kutoka Afrika bidhaa zilizosindikwa badala ya mazao ghafi. 

“Napendekeza tutoke na tamko la kisera kwa nchi zote kwamba wakija kwetu wanunue chokoleti badala ya kakao, kahawa iliyosindikwa badala ya ghafi na bidhaa za chuma zilizosanifiwa badala ya chuma ghafi,” alisisitiza Rais huyo. 

Alisema bara la Afrika linahitaji zaidi kupata teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji na uzalishaji wa mbolea ili liwe na uhakika wa kuzalisha chakula. “Kitu kingine kikubwa tunachohitaji ni kupata uhakika wa masoko ndani ya bara la Afrika na nje ya mipaka yetu. Tukijenga viwanda vya kuongeza thamani za mazao na bidhaa zetu, tutafanikiwa kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wetu,” alisema. 

Kwa upande wake, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa alisema umefika wakati wa mataifa mengine kukubali kuwa nchi za Afrika zimeanza kutengeneza hatma yao na kwamba anaunga mkono hoja ya Rais Museveni ya kutouza bidhaa ghafi nje ya nchi zao.

Ili kuhakikisha kuwa maamuzi ya kikao hicho yanafanyiwa kazi kwa haraka, Rais Ramaphosa alipendekeza kuwa ni lazima waandae mpango wa ufuatiliaji na tathmini. Alitumia fursa hiyo kuwaalika viongozi wenzake washiriki Mkutano Mkuu wa 15 wa BRICS unaotarajiwa kufanyika Afrika Kusini, Agosti 22-24, mwaka huu. 

About the author

Alex Sonna