Mkali wa Gospel kutoka jijini Arusha anayefanya vizuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania Risandi Laizer amekuletea wimbo wake mpya uitwao “Baraka za Mungu”
 
Hakika utabarikiwa na wimbo huu na utashuhudia baraka za Mungu zikimiminika maishani mwako.
 
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Risandi Laizer Kwa Simu namba +255766200459
 
Au barua pepe @rlaizer.tz108@gmail.com
 
Karibu uutazame. Usisahau ku like, ku-Comment na ku-share Kwa wengine.
Previous articleBETWAY ANNOUNCES GRAND WINNER OF “CHOMOKA NA ODDS” PROMO: RAFII SAIDI HUSSENI
Next articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 26,2023

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here