Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas giriş

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

KAMPENI YA KILI CHALLENGE 2023 KUCHOCHEA MALENGO YA KUZIFIKIA SIFURI TATU-WAZIRI MHAGAMA

Written by Alex Sonna

Na Mathias Canal, Moshi-Kilimanjaro

Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024 zimetengwa fedha nyingi zaidi kuhakikisha kila Wizara na Taasisi ya Umma zinawezeshwa katika mapambano hayo.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama leo tarehe 20 Julai 2023 Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuwapoke Mashujaa waliojitolea kupanda Mlima Kilimanjaro na wengine kuuzunguka kwa baiskeli ili kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchangia juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI.

“Serikali iliweka Lengo A (objective A) ambalo kila Wizara na Taasisi ya Umma zinatakiwa kutenga fedha kwa ajili ya masuala ya VVU na UKIMWI. Katika mwaka 2022/23, Serikali ilitenga shilingi bilioni 41 na mwaka 2023/24 imeweka fedha zaidi,” alieleza

Aidha, licha ya fedha zilizo katika Lengo A, katika mwaka 2022/23, TACAIDS ilitengewa shilingi bilioni 14.98 kwa ajili ya masuala ya VVU na UKIMWI pekee na mwaka 2023/24 zimetengwa shilingi bilioni 25.86 ikiwa na lengo la kuendeleza mapambano hayo.

Pamoja na hilo TACAIDS imeendelea kuufikia umma wa Watanzania kupitia program mbalimbali ikiwemo mafunzo na kutoa miongozo juu ya mapambano haya.

“Tumeendelea kutoa miongozo ya kudhibiti VVU na UKIMWI pamoja na Magonjwa sugu yasiyoambukizwa ili kuhakikisha jamii inapata elimu kuhusu masuala haya na kupinga unyanyapaa” Amekaririwa Mhe Mhagama.

Amesema kuwa, ili kuzifikia SIFURI TATU kutokuwa na Maambukizi Mapya, Kutokuwa na Unyanyapaa na Ubaguzi, na Kutokuwa na Vifo Vitokanavyo na UKIMWI, ambapo amesema ipo haja ya kuendelea kuunga mkono jitihada hizo kupitia Kuchangia Mfuko wa Kili Challenge ili kuwa na matokeo yanayotarajiwa.

Kwenye Kampeni ya Killi Challenge jumla ya shilingi milioni 543 ziligawiwa kwa Halmashauri zinazohudumia Konga nchini ili kuwasaidia katika shughuli zao.

Waziri Mhagama ameushukuru uongozi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) pamoja na wadau mbalimbali katika kuandaa na kuwezesha Kampeni ya Kilimanjaro Challenge against HIV and AID” kufanyika kila mwaka na kutambua jitihada zinazofanywa na Uongozi wa Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Geita bila kusahau Sekretarieti za Wilaya za Hai na Moshi kwa kuratibu na kuwa wenyeji wa tukio hilo kila mwaka.

Aidha aliwapongeza mashujaa walioshiriki katika kampeni hiyo na kutoa rai kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi mwaka ujao katika Kampeni ya Kili Challenge.

“Hivyo, kwa moyo dhati kabisa, tunawapongeza mashujaa wote (61) ambapo 35 mlipanda Mlima na 26 mliendesha baiskeli kuzunguka Mlima huo kwa mafanikio mliofikia. Mafanikio yenu yanadhihirisha kuwa mwitikio dhidi ya VVU na UKIMWI unawezekana iwapo kutakuwa na dhamira ya dhati kwa kila mmoja wetu na ushirikiano wa pamoja wa kufikia Malengo ya kitaifa,” alisisitiza Mhe. Mhagama

About the author

Alex Sonna