Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet ios

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

mercurecasino

ultrabet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MSALATO SEKONDARI YAMKOSHA RC SENYAMULE

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza na mwanafunzi wa Kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Msalato Bi. Lucia Izengo Makeremo wakati ziara yake ya kukagua ujenzi wa madarasa na miundombinu ya mabweni katika shule hiyo. Senyamule pia aliwapongeza walimu na wanafunzi hao kwa kufanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kidato cha sita. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri na Mkuu wa Shule ya Msalato Mwl. Mwasiti Msokola.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri (kulia) wakikaguzi ujenzi wa madarasa yanayojengwa katika Shule ya Sekondari Msalato wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo katika shule hiyo.

Katika picha ni darasa 1 kati ya 7 yaliyojengwa katika Shule ya Sekondari Msalato  kupitia fedha kutoka Serikali Kuu hadi sasa ujenzi wake umefikia  asilimia 85 na wako katika hatua za ukamilishaji. Kiasi cha shilingi milioni 688 zimetumika katika kukamilisha ujenzi wa mabweni manne, vyumba saba vya madarasa na matundu 10 ya vyoo katika shuleni hapo.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza na wanafunzi pamoja pamoja na Walimu wa Shule ya Sekondari Msalato mara baada ya ziara yake katika Shule  hiyo ya Ukaguzi wa Ujenzi wa Mabweni 4, vyumba 7 vya Madarasa na matundu ya vyoo 10  unaoendelea katika shule hiyo

Na.Mwandishi Wetu

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameipongeza Shule ya vipaji maalumu ya Sekondari ya Wasichana ya Msalato Mkoani Dodoma kufuatia matokeo mazuri ya kidato cha Sita kwa kupata ufaulu wa alama ya daraja la kwanza 139  na 6 kwa daraja la pili.

Pongezi hizo amezitoa  leo tarehe 17,7.2023 wakati ya ziara yake ya kikazi ya kukagua  hatua ya ujenzi wa mabweni manne, vyumba saba vya madarasa na matundu 10 ya vyoo katika shule hiyo na Shule ya Sekondari Bihawana ambapo ujenzi wa matundu sita ya vyoo, bweni moja na vyumba vinne vya madarasa chini ya fedha kutoka serikali kuu. Katika shule ya Sekondari Msalato awamu ya kwanza ilipokea kiasi cha Shilingi Milioni 428 na awamu ya pili shilingi milioni 260 ikiwa ni nyongeza kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi waliopangwa kuhitajika mabweni mawili ya ziada na Sekondari ya Bihawana shilingi milioni 227.2

“Nichukue nafasi hii kuwapongeza walimu na wanafunzi kwa kuufaharisha Mkoa wetu wa Dodoma, tunatamani kila mtu anaefanya kazi Mkoani hapa aifaharishe kwa nafasi yake kama hivi mlivyo fanya ninyi hongereni sana mmetupa heshima kubwa sana na nimategemeo yetu kuwa mtaendelea kufanya vizuri zaidi”, ameeleza Mhe.Senyamule 

Awali, Mhe.Senyamule amekagua ujenzi unaoendelea shuleni hapo na kuwaasa wakandarasi wanaosimamia miradi kuhakikisha wanaongeza kasi ya umaliziaji wa miradi hiyo kwa viwango vinavyotakiwa kwa kuzingatia muda uliobaki ili wanafunzi wa kidato cha tano wanapoingia waweze kutumia miundombinu hiyo, ikiwa imekamilika kwa ubora unaotakiwa.

“Lazima siku zilizobaki mjitahidi kuongeza kasi na kuongeza ubunifu  ili kuendana na wakati  uliobaki kwa kuzingatia ubora unaotakiwa, ongezeni idadi ya mafundi na ongezeni masaa ya kufanya kazi, hapa inahitajika speed and accuracy bahati nzuri hapa umeme upo tumieni nafasi hii kukamilisha kazi hii” amesisitiza Mhe.Senyamule

Akiwa katika Shule ya Sekondari ya Bihawana Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu Liberatus Nkilema amesema ujenzi katika Shule hiyo uko katika hatua za ukamilishaji na mkakati uliopo ni kukamilisha mradi huo wa ujenzi ifikapo tarehe 30/07/2023.

 

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri amesisitiza umakini katika hatua ya umaliziaji wa mradi ili kuwa na majengo bora yatakayodumu kwa muda mrefu. Shekimweri pia amesema Mkoa wa Dodoma umefanya vizuri sana katika matokeo ya kidato cha sita ambapo katika Shule kumi bora kitaifa, Dodoma ziko shule 5 na katika Wilaya ziko Shule 10.

Nae,Mwanafunzi Gloria Frank Shirima Dada Mkuu wa Shule ya Sekondari Msalato akiongea kwa niaba ya wanafunzi wenzake  amemshukuru Mhe,Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuboresha sekta mbalimbali hususani sekta ya elimu ameahidi kuongeza bidii kwenye masomo ili kuongeza ufaulu wa shule na kutendea haki bidii za Mhe. rais.

Bihawana na Msalato ni miongoni mwa Shule za Sekondari nchini zilizopokea fedha kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha Tano wanaotaraijiwa kuripoti kuanzia tarehe 14 Agosti 2023. Bihawana Sekondari  ilipokea kiasi cha Shilingi Milioni 227.2 kwa ajili ya ujenzi wa matundu 6 ya vyoo, ujenzi wa Bweni 1 na vitanda 40, vyumba vinne vya madarasa vikiwa na jumla ya viti na meza 160.

About the author

Alex Sonna