Featured Kitaifa

SERIKALI KUANZA KUZITAMBUA SHOROBA ZA WANYAMAPORI NCHINI

Written by Alex Sonna

Kamati ya Kitaifa ya Shoroba za Wanyamapori nchini imefanya ziara ya kuzitambua Shoroba mbalimbali za wanyamapori ambazo zinakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na ongezeko la watu na kuongeza kwa shughuli za kibinadamu katika mapito ya wanyamapori hali inayopelekea madhara makubwa kwa wananchi wanaoishi katika maeneo hayo

Akizungumza na Waandishi wa habari leo mkoani Morogoro mara baada ya timu ya wataalam kutembelea ushoroba wa Mwanihana- Magombela unaounganisha Hifadhi ya Taifa Udzungwa, Nyerere na Pori la Akiba la Kilombero, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Lina Kitosi, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Bunge na Siasa, Ofisi ya Waziri Mkuu amesema tembo wamekuwa wakipita kwenye maeneo hayo kwa lengo la kurejea njia zao ambazo ni za awali, hali ambayo imeleta uhaaribifu wa mazao na makazi ya watu pindi wanapopita.

Kufuatia hatua hiyo, Kitosi amesema Serikali imeanza kuchukua hatua mahsusi ya kuziongoa shoroba hizo kwa kuzitambua ili kuwasaidia wananchi kutojihusisha na shughuli za kibinadamu katika mapito hayo ikiwemo kilimo na ujenzi wa makazi.

Ameongeoza kuwa kitendo cha wananchi kuzifahamu na kuzielewa shoroba hizo kutawasaidia kuepuka kufanya shughuli kibinadamu katika maeneo hayo na kwa namna hiyo kutapunguza madhara yasababishwayo na tembo .

“Tumetembelea ushoroba huu ambao ni miongoni mwa shoroba 61 za kitaifa ambazo zinapaswa kutambuliwa na wananchi wote , Ili waweze kuzijua na kuzingatia maelekezo yanayotolewa na Serikali katika kuepuka kufanya shughuli zao kwenye maeneo ambayo yametengwa.” ameongeza.

Akielezea hali ya Shoroba nchini, Dkt. Fortunata Msoffe Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Wanyamapori kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii amesema shoroba nyingi nchini zinakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo ongezeko la shughuli za kibinadamu kwenye maeneo hayo.

Amefafanua kuwa kutokana na hali hiyo Serikali imeamua kuanza kutekeleza mpango wa kuongoa shoroba hizo kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mpango huo ulizinduliwa na wizara mwaka jana tarehe 17 Septemba 2022.

“Tumeanza na shoroba za kipaumbele ambazo zilitokana na kazi iliyofanywa na wadau wa maendeleo wakishirikiana na wizara pamoja na wataalam mbalimbali katika kuainisha shoroba Ili kupunguza matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu kwenye makazi ya watu.”

Dkt. Msoffe amesema katika mpango huo Serikali imeamua kuanza ni zile shoroba ambazo zipo hatarini kutoweka

” Timu ya Wataalamu leo hii ipo katika shoroba ya Udzungwa , Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwenda mpaka pori la akiba Kilombero ambayo ni moja kati ya shoroba 20 ambazo wizara imezipa kipaumbele

Naye Katibu Tawala wa Kilombero, Abraham Mwaikwila ameishukuru Taasisi ya STEPS chini ya Ufadhili wa USAID kwa kutoa elimu kwà Wakazi wa Kijiji cha Kanyeja Wilaya ya Kilombero pamoja kuweka fensi ya uzio ambayo imesaidia kuwazuia tembo ambao wamekuwa wakiharibu mazao ya Wanakijiji hao pamoja na kuingia kijijini

Ziara hiyo imepangwa kufanyika kuanzia Juni 29 hadi Julai 1, 2023

       

About the author

Alex Sonna

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno