Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WAZIRI AWESO AZINDUA BODI ZA WAKURUGENZI MFUKO WA MAJI WA TAIFA NA WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso,akizindua  Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Maji wa Taifa hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mheshimiwa Jackson Kiswaga,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule,akitoa salamu za Mkoa wake wakati wa uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Kaimu mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Vijijimi (RUWASA) Bwai Biseko, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa, Mhandisi Mbogo Futakamba ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri  wa Maji Jumaa Aweso (hayupo pichani) ,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

 

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso,akizindua  Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Maji wa Taifa hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso,akizindua  Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini  hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi RUWASA Mhandisi Ruth Koya,akitoa neno la shukrani kwa Waziri a Maji Jumaa Aweso (hayupo pichani) mara baada ya kuzindua Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Maji Mhandisi Abdallah Mkufunzi ,akitoa neno la shukrani kwa Waziri a Maji Jumaa Aweso (hayupo pichani) mara baada ya kuzindua Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua akizungumza Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji wa Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini hafla iliyofanyika leo Juni 27,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso,ameiagiza Bodi ya Mfuko wa Maji wa Taifa kutafuta vyanzo vingine vya Mapato badala ya kuendelea kutegemea fedha zinazotolewa na Serikali.

Waziri ameyasema hayo leo Juni 27,2023 jijini Dodoma  wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi za Wakurugenzi za Mfuko wa Maji Taifa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini.

Amesema Mfuko wa Maji ni kichochoe kikubwa cha ukuaji wa Sekta ya Maji hivyo miradi inayotekelezwa isimamiwe ili ikikamilika iwe chanzo Cha mapato na kuwezesha Ujenzi wa Miradi mingine.

“Serikali inatupatia fedha za mfuko wa Maji kila mwezi lakini Bodi hatupaswi kuendelea kutegemea chanzo kimoja kwani mahitaji bado mengi hivyo tutafute namna nyingine ya kupata fedha, mbona kuna taasisi zinapata fedha na sisi tutafute vyanzo vingine vya mapato”amesema Aweso

Aidha, Aweso ameitaka Bodi ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini kuangalia namna ya miradi ya maji inavyoweza kujiendesha yenyewe katika maeneo ya vijijini.

“Fedha za miradi ya maji zisiachiwe Jumuiya lazima kuwepo na usimamizi lazima sasa tujipime kama kuna haja ya kuendelea na mfumo huu wa kutumia jumuiya kuendesha miradi ya maji vijijini.”amesema

Hata hivyo amesema kuwa  hivi sasa wizara hiyo imeshamaliza mchakato wa bajeti yake kazi itakayofuta ni kufanya tathimini ya utendaji kwa watumishi wake na kila mtumishi atawajibishwa.

“Nipo tayari kuonekana mbaya hivi sasa lakini siyo taasisi hii kufia mikoni mwangu ni lazima tufikie malengo ya taifa kwenye upatikanai wa maji mijini na vijijini,fedha zilizotolewa na serikali lazima zitumike kwa mujibu wa mahitaji yaliyopo ”amesema Aweso

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba amesema kwa sasa Wizara hiyo imeamua kuachana na utaratibu wa kuchimba visima vidogovidogo Kwa Kila Kijiji badala yake wanachimba kisima kikubwa na kusambaza maji katika vijiji vingi ili kupunguza gharama.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amesema kuwa Dodoma bado hakuna maji ya uhakika hivyo kaiomba Wizara ya Maji kufanya Dodoma kuwa ni eneo Maalum la kushughulikiwa kwani ni Makao Makuu ya nchi hivyo ongezeko la watu wanaohamia ni kubwa.

“Kutokuwepo Kwa maji ya uhakika inaupotezea Mkoa wa Dodoma sifa Kwa wawekezaji maana wanapokuja jambo la kwanza kutuliza ni maji na wakigundua kuwa Kuna changamoto ya maji hawarudi tena hivyo Dodoma kama Makao Makuu itengewe fungu maalumu kuhakikisha changamoto ya maji inatatuliwa ili wawekezaji wavutiwe kuwekeza hapa,” amesema Mhe.Senyamule

Awali Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Vijijimi (RUWASA) Bwai Biseko,amesema kuwa hadi kufikia Desemba 2022, jumla ya miradi 2,273 ya miundombinu ilikuwa imejengwa na kukamilika kupitia fedha za ndani na wadau wa Maendeleo.

“Miradi hiyo inanufaisha wanachi 11,641,230 katika vijiji 4,809.  Katika kipindi hicho ujenzi wa mabwawa saba ulikamilika na jumla ya visima 947 vilichimbwa”amesema

Hata hivyo amesema kuwa  katika kipindi cha kuanzia Julai 2019 hadi September 2022, RUWASA ilifanikiwa kuunda na kusajili CBWSOs 2,524 na zimeweza kuajiri watalaam 5,586 wa fani za ufundi, uhasibu na kada saidizi ili kuwa na uendelevu wa huduma.

“Mheshimiwa Mgeni Rasmi, vilevile, nikushukuru wewe pamoja na uongozi wa wizara ya Maji kwa kuwezesha upatikanaji wa fedha za utekelezaji wa majukumu ya RUWASA, kiasi cha Sh.995,638,503,970 kati ya Sh. 1,044,588,249,042 zilizotengwa ambayo ni sawa na asilimia 95 ya bajeti ya RUWASA kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2019/2020 hadi mwaka 2021/2022, fedha ambazo zimewezesha kupatikana kwa mafanikio yaliyotajwa hapo juu”amesema

Hata hivyo alisema katika mwaka 2023/2024, RUWASA imepanga kutekeleza jumla ya miradi ya maji vijijini 1,546 ikihusisha miradi ya ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji katika maeneo mbalimbali nchini.

About the author

Alex Sonna