Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Singida Mashariki  Miraji MtaturuBungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape NnauyeBungeni jijini Dodoma

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi ChanaBungeni jijini Dodoma, Juni 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor