Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama  (kushoto) akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma Juni 21, 2023.  Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,  Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,  Bernadeta  Mushashu kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kutoka Tarime kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 21, 2023. Kulia ni Mbunge wa Butiama na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  wanachuo kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor