Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margareth Sitta, Bungeni jijini Dodoma, Juni 9, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)