Featured Kitaifa

LAW SCHOOL YATOA ELIMU KWA UMMA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA MITANO YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) akizungumza na Maafisa wa Law School kwenye banda la Taasisi katika maonesho yanayofanyika kwenye viwanja vya ukumbi wa mikutano Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Maonesho hayo yameanza tarehe 5 hadi 8 Juni, 2023 ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.

 

Baadhi ya Watumishi wa Law School pamoja na baadhi ya wanafunzi wakiongozwa na Kaimu Naibu Mkuu wa Taasisi, Dkt. Clement Mashamba (katikati aliyevaa suti) wakiwa kwenye banda la Taasisi kwa ajili ya kutoa elimu kwa umma.

About the author

mzalendoeditor