Featured Michezo

JAZWA BONASI UNAPOWEKA PESA MERIDIANBET

Written by mzalendoeditor

Habari njema kwa watumiaji wa Mitandao ya simu kama Tigo, Vodacom, Airtel na Halotel kwa kuwa Meridianbet Tanzania imewakumbuka wateja wake wanaobeti na kucheza kasino ya mtandaoni.

 

Kila unachokifanya Meridianbet unalipwa, ukibashiri soka unajazwa mtonyo, ukicheza kasino ya mtandaoni unatajirishwa kila dakika. Mwezi Juni sio kinyonge sana kwa kuwa kuna bonasi ya pesa taslimu na mizunguko kibao ya kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Unapataje Bonasi hii.

Ili kupata bonasi hizi unachotakiwa kufanya ni kuweka dau la Tsh 25,000 au zaidi kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, Halope sana M-pesa, kisha tengeneza tiketi ya michezo au cheza michezo ya kasino ya mtandaoni yenye thamani ya Tsh 25,000 au zaidi.

Baada ya kufanya hivyo utazawadiwa bonasi ya michezo yenye thamani ya Tsh 5,000 au mizunguko 150 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni na sloti chaguo ni lako.

Bonasi zitatolewa ifikapo saa saba mchana kesho yake, ofa hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kwenye tovuti ya meridianbet.co.tz au aplikesheni ya Meridianbet.

 

NB: Tiketi za kubeti michezo lazima ziwe na matokeo ya siku hiyo hiyo ambapo mteja atakuaame weka  dau lake ili kushinda bonasi. Turbocash na Tiketi za mfumo hazikubaliki kwa ajili ya bonasi.

About the author

mzalendoeditor