Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuzindua Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar (kushoto ) Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria, Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa Kitabu cha Hadidu Rejea, Kanuni, na Mpango Kazi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishwa Kijinsia Zanzibar, akikabidhiwa na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Mgeni Jailani Jecha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, uzinduzi huo uliyofanyika leo 1-6-2023 katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor