Featured Michezo

MERIDIANBET YAIBUKIA UBUNGO-KIBANGU KUFANYA UZINDUZI WA DUKA

Written by mzalendoeditor

Meridianbet leo wameibukia mitaa ya Ubungo-Kibangu jijini Dar-es-salaam kuzindua duka jipya ambalo litakua likiwanufaisha wakazi wa eneo hilo, Hii imefanywa na wababe hao wa michezo ya kubashiri ili kutanua wigo wa masoko kwa kampuni hiyo pamoja na kusogeza huduma karibu na wateja wake.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania baada ya kuzindua duka jipya mitaa ya Ubungo-Kibangu, Wanaeleza dhumuni kubwa la kuzindua duka hilo katika maeneo hayo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma na kuepusha wakazi wa eneo hilo kupata shida wakati wa kutaka kubashiri.

Kuelekea mwisho wa ligi, Meridianbet inakwambia sio mwisho wa wewe kupiga pesa wakiwa wamekupatia michezo ya kasino kama yote ambayo kwa dau dogo tuu unapiga mkwanja mrefu. Sloti, Aviator, Roulette Poker, Pia Premium yote hiyo ni kwaajili yako ingia na ucheze muda huu.

Baada ya uzinduzi wa duka hilo hapo Ubungo,Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu amesema kuwa; “Bado hawajamaliza ndio kwanza wanaanza na mpaka mwaka huu uishe Meridianbet itakuwa kila kona ya nchi hii ambapo maeneo mengi yatakuwa yamefikiwa na huduma ya maduka na watacheza michezo mbalimbali mpaka ya kasino ya mtandaoni. Hivyo watu wajitokeze kwa wingi kutumia Meridianbet wanapofanya ubashiri.”

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

 

Unataka kucheza kasino ya mtandaoni? Basi nenda Meridianbet wana michezo mingi sana ambayo ni rahisi kwako kushinda kama Aviator kwa dau la shilingi 200/= tu basi unaweza kuwa Milionea, Poker, Roullete, Piggy Party na mingine ambayo ni rahisi sana na pesa yake ni ya chap chap hakuna kusema unasubiri wiki au siku iishe.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kucheza michezo kibao ya kasino ambayo juzi hapa mteja kutoka kwa Aziz Ally alifanikiw akupiga kitita cha shilingi Milioni 20 wewe unasubiri nini?

Baada ya uzinduzi wa duka hilo, wakazi wa eneo hilo walifurahishwa sana na ujio wa Meridianbet, na wameshukuru sana kwa kuwafungulia Duka jipya la kubashiria katika eneo hilo na watajiunga na Meridianbet waweze kujiweka kwenye nafasi za kuwa mabingwa kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni..

 

 

Usikose kucheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette, Piggy Party, Pia Premium ambayo hiyo yote itakuwa karibu nawe wakati ligi zikiwa zimeisha na wewe utaweza kujipigia pesa huko.

 

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

About the author

mzalendoeditor