Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHUKURIWA KUENDELEA KUZIPA KIPAUMBELE SHUGHULI ZA ULINZI

Written by Alex Sonna

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuzipa kipaumbele shughuli za ulinzi kwa kutoa fedha kugharamia shughuli hizo. 

Shukrani hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Waziri Bashungwa wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya wizara hiyo kwa mwaka 2023/24 ambapo amempongeza Rais Samia kwa juhudi zake za dhati katika kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa na umoja, amani, utulivu, ustawi na kasi ya maendeleo ya kiuchumi.

“Tunamshukuru Rais Samia kwa kuendelea kuzipa kipaumbele shughuli za ulinzi kwa kutoa fedha kugharamia operesheni za  kupambana na ugaidi, ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa – Kikombo Jijini Dodoma, kusafirisha wastaafu, madeni ya wazabuni, mafunzo na vifaa vya mifumo ya malipo na ununuzi wa magari ya makamanda na Wambata Jeshi”, alisema Bashungwa.

Vilevile kwa niaba ya Serikali, Bashungwa amezishukuru nchi rafiki kwa ushirikiano wao katika shughuli za ulinzi, nchi hizo ni pamoja na Algeria, Bangladesh, Ethiopia, Finland, Ghana, Hispania, Indonesia, Israeli, Jamhuri ya Czech, Jordan, Misri, Morocco, Nigeria, Oman, Pakistan, Serbia, Sri Lanka, Sweden, Uholanzi, Uingereza, Umoja wa Falme za Kiarabu, Urusi, na Uswisi.

Kwa upande mwingine, Bashungwa ameeleza kuwa kwa mwaka wa fedha 2022/2023, hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi yenye urefu wa kilomita 5,461.20, ambayo inahusisha eneo la nchi kavu linalopakana na nchi nane na eneo la maji, hususan Bahari ya Hindi linalopakana na nchi za Comoro na Shelisheli imeendelea kuwa shwari na hapakuwa na matukio ya uhasama baina ya Tanzania na nchi zinazopakana nazo.

Wizara kwa mwaka wa fedha 2022/2023, imefanikiwa kutekeleza shughuli mbalimbali kwa kutumia fedha zilizotolewa kwa ajili ya matumizi ya kawaida zikiwemo za mafunzo na mazoezi ya kijeshi, mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, mafunzo ya Jeshi la Akiba, matunzo ya zana na vifaa vya kijeshi, huduma za afya na tiba, ushirikiano na mamlaka za kiraia, ushirikiano wa kiulinzi na nchi nyingine, ushiriki wa Jeshi katika michezo, mapambano dhidi ya magonjwa ambukizi na yasiyoambukiza, utawala bora na utunzaji wa mazingira.

About the author

Alex Sonna