Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MITAMBO YA KUZALISHA NA KUSAFIRISHA ZEGE YA SUMAJKT YAZINDULIWA JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

Muonekano wa Mitambo ya kuzalisha zege iliyozinduliwa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele ,akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma .

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele ,akisisitiza jambo  wakati wa hafla ya kuzindua mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Kanali Petro Ngata,akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma.

MWENYEKITI  wa Bodi ya washauri wa SUMA JKT Meja Jenerali Mstaafu Farah Mohamed,akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Idara ya Ujenzi SUMA JKT, Mhandisi Morgan Nyoni,akitoa taarifa  wakati wa hafla ya kuzindua mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Idara ya Ujenzi SUMA JKT, Mhandisi Morgan Nyoni,wakati wa hafla ya kuzindua mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma .

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma .

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,akiwa ndani ya gari mara baada ya kuzindua  mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma .

Muonekano wa Mitambo ya kuzalisha zege iliyozinduliwa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayotumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) katika  eneo la Kisasa leo Mei 23,2023 jijini Dodoma .

Na.Alex Sonna-DODOMA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele,amezindua rasmi mitambo mikubwa ya kuzalisha na kusafirisha zege itakayokuwa ikitumiwa na kampuni ya ujenzi ya Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT iliyogharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.349 za kitanzania.

Akizungumza leo Mei 23,2023 katika eneo la Kisasa jijini Dodoma mara baada ya kuzindua mitambo hiyo Meja Jenerali Mabele,amesema kuwa hatua hiyo ni kubwa wakati JKT ikielekea kutimiza miaka 60 tangu kuanzishwa kwake..

Amesema uzinduzi wa mtambo huo na magari  unakwenda kuiwezesha SUMA JKT, kuondokana na gharama kubwa walizokuwa wakitumia kununua zege, kukodi magari na kuzisafirisha kwenye miradi yake mbalimbali, pia itawaingizia fedha kutokana na kuuza zege kwa wakandarasi wengine hapa nchini.

“Tunaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuiamini SUMAJKT kwa kuipa miradi mingi na ndio maana wanapambana kuhakikisha wanapata mitambo ili kutekeleza miradi hiyo kwa ufanisi na tutaendelea kuilinda imani hiyo” amesema Meja Jenerali Mabele

Aidha amewaagiza watendaji wa SUMA JKT kuhakikisha wanasimamia mitambo hiyo ili ilete tija iliyokusudiwa katika kuongeza ufanisi wa SUMAJKT.

“Kwa watakao pewa dhamana ya kusimamia mitambo hiyo lazima wazingatie matengenezo kwa wakati ili mitambo hiyo idumu kwa muda mrefu sio ukiona mtambo unafanya kazi unaendelea kuutumia hali ukijua muda wa matengenezo umefika” amesema 

Hata hivyo amesema kuwa JKT inakwenda kuadhimisha miaka 60 tangu kuasisiwa  kwake na sasa ni wakati wa teknolojia ni lazima tuonyeshe mabadiliko kwa kuwa na vifaa vya kisasa katika kutekeleza majukumu.

“Kama mnavyojua SUMA JKT ilianza kama kitengo cha ukarabati lakini kilikuwa na sasa ni shirika kubwa sana hapa nchini na linaloaminika na linalopata miradi mikubwa lazima tuonyeshe utofauti.

Mwanzo tulikuwa tunaingiza vijana wengi mashambani lakini kwa sasa tumeweka mitambo mikubwa ya kiteknolojia mashambani na tunalima kwa tija kubwa kutokana na mitambo tuliyonayo” amesema.

Kwa upande Wake Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Kanali Petro Ngata, amesema ununuzi wa mtambo huo ni moja ya mipango ya Shirika hilo ni kununua mitambo ya kisasa katika mwaka wa Fedha 2022/23 huku akiwataka watendaji kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuleta tija.

”Mitambo hiyo itasaidia katika kutekeleza miradi wanayopata na wamejiwekea malengo ya kuongeza vitendea kazi kwa kampuni tanzu za SUMAJKT kuziwezesha kampuni hizo ufanisi katika kutekeleza majukumu yao.” Kanali Ngata

Naye Mwenyekiti wa Bodi ya washauri wa SUMA JKT Meja Jenerali Mstaafu Farah Mohamed ameipongeza SUMA JKT kwa kuendelea kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kutekeleza yote wanayokubaliana katika vikao vya bodi na Shirika hilo.

Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Idara ya Ujenzi SUMA JKT, Mhandisi Morgan Nyoni,amesema mitambo hiyo imeingizwa nchini Januari 16, 2023 na kumaliza kusimikwa May 22, 2023 jijini Dodoma, na inauwezo wa kuzalisha zege cubic meter  60 kwa saa, magari matatu yenye uwezo wa kubeba zege cubic meter 8 kila moja na pampu ya kusukuma zege.

”Mtambo na magari hayo yamegharimu Sh.bilioni 1.349 na utawawezesha kuzalisha Zege na kuuza kwenye makampuni mengine.”amesema Mhandisi Nyoni

About the author

Alex Sonna