Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AITEMBELEA FAMILIA YA HAYATI SOKOINE

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili nyumbani kwa Mjane wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward
Moringe Sokoine Bi. Napono Sokoine (Mwenye nguo nyekundu) katika Kijiji cha Enguiki Wilaya ya Monduli mkoani Arusha leo tarehe 19 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakipokea zawadi za mavazi ya kabila la wamaasai wakati walipowasili nyumbani kwa Mjane wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Bi. Napono Sokoine (Mwenye nguo nyekundu) katika Kijiji cha Enguiki Wilaya ya Monduli mkoani Arusha leo tarehe 19 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya wanafamilia wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine wakiongozwa na Bi.
Napono Sokoine (Mwenye nguo nyekundu) ambaye ni mjane wa Hayati Sokoine wakati alipowatembelea nyumbani kwao Kijiji cha Enguiki Wilaya ya Monduli mkoani Arusha leo tarehe 19 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa na familia ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine wakiongozwa na Bi. Napono Sokoine (Mwenye nguo nyekundu) ambaye ni mjane wa Hayati Sokoine wakati alipowatembelea nyumbani kwao Kijiji cha Enguiki Wilaya ya Monduli mkoani Arusha leo tarehe 19 Mei 2023. Wengine ni viongozi wa mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo John Mongela.

About the author

mzalendoeditor