Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

holiganbet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

sekabet

marsbahis

matbet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

herabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

pokerklas

betkare

imajbet

betpark

betpark

bets10

Featured Kitaifa

WIZARA YA ELIMU YAWASILISHA BAJETI  YA MWAKA 2023-2024 YATAJA  VIPAUMBELE VITANO KUBEBA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa  Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda,akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo  kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024,leo Mei 16,2023 bungeni jijini Dodoma .

Na Alex Sonna-DODOMA

KATIKA  mwaka wa fedha 2023/24, Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imepanga kutekeleza vipaumbele vitano vyenye lengo la kuongeza ubora wa elimu, kuwezesha vijana wa kitanzania kupata maarifa, ujuzi, kujiamini, kujiajiri na kuajirika huku ikiliomba bunge kuidhinisha zaidi ya Sh.Trilioni 1.678.

Hayo yameelezwa leo Jumanne, Machi 16,2023 bungeni  na Waziri wa  Wizara hiyo,Prof Adolf Mkenda wakati akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha  2023-2024.

Waziri Mkenda amevitaja vipaumbele hivyo ni  kukamilisha mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu na kuanza utekelezaji,kuongeza fursa na ubora wa mafunzo ya amali katika elimu ya sekondari na vyuo vya Kati vya Amali.

Pia, kuongeza fursa na ubora wa elimu ya msingi na sekondari,kuongeza fursa na ubora wa elimu ya juu; na kuimarisha uwezo wa nchi katika utafiti, matumizi ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ili kuchochea ujenzi wa uchumi wa viwanda.

ELIMU YA UFUNDI

Waziri Mkenda amesema serikali itaendelea kuhakikisha kuwa elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi Stadi nchini inatolewa kwa vitendo kwa lengo la kukuza na kuendeleza ujuzi na umahiri.

“Itarasimisha ushirikiano na taasisi mashirikia 60 kutoka sekta rasmi kwa lengo la kuongeza fursa kwa wanafunzi na walimu wa elimu ya mafunzo ya ufundi stadi ili kuwezesha wanafunzi kupata mafunzo kwa vitendo katika maeneo ya kazi,”amesema Prof Mkenda.

Pia amesema Wizara itanunua vifaa vya kisasa vitakavyotumika katika maabara ya udongo, maji na mimea katika Chuo cha Ufundi Arusha ili kuongeza uzalishaji na utoaji wa ushauri wa kitaalamu.

Pia amesema Serikali itaendelea kuhakikisha kuwa inawezesha upatikanaji wa vifaa vya kufundishia katika vyuo vya ufundi na mafunzo ya Ufundi Stadi.

Vilevile, itaendelea kuwakutanisha wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi ili kubadilishana uzoefu na kupendekeza namna bora ya kuendeleza ubunifu unaopatikana nchini.

VYUO 64

Waziri Mkenda amesema Serikali itaendelea na ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi 64 katika wilaya ambazo hazina vyuo hivyo pamoja na ujenzi wa Chuo cha Mkoa wa Songwe na itaanza kutoa mafunzo ya amali katika vyuo 29 vilivyokamilika.

Vilevile, itakamilisha ujenzi wa awamu ya kwanza ya Chuo cha Ufundi Dodoma ambapo kukamilika kwa awamu hiyo kutawezesha kudahili wanafunzi 1,500.

UBORA WA ELIMU

Waziri Mkenda amesema Serikali itaendelea kuongeza fursa za Elimu kwa kutoa ithibati kwa shule za msingi, sekondari na vyuo vya ualimu.

Amesema itasajili shule za msingi na sekondari takribani 560 ambapo awali pekee 20, awali na msingi 380 (Serikali 250 na zisizo za Serikali 130), sekondari 165 (Serikali 135 na zisizo za Serikali 30), chuo cha ualimu kimoja cha binafsi na nyingine kwa kuzingatia maombi yatakayowasilishwa na kukidhi vigezo.

“Itaanza kusajili shule za msingi, sekondari na vyuo vya ualimu kwa mfumo wa kielektroniki kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuwafikia wadau wengi zaidi,”amesema Prof Mkenda.

Waziri huyo amesema Serikali itaendelea kutoa fursa za elimu na mafunzo kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia, kutoa ushauri pamoja na utoaji wa mafunzo kazini.

UALIMU

Waziri Mkenda amesema katika kuimarisha elimu ya ualimu, Serikali itaendelea kuimarisha maandalizi ya walimu tarajali katika vyuo vya Ualimu.

Amesema  itatoa mafunzo kwa vitendo kwa wanachuo wa Vyuo vya Ualimu zaidi ya 17,000 kwa lengo la kuhakikisha walimu tarajali wanapata stadi stahiki za ufundishaji na ujifunzaji.

“Itanunua vifaa vya kufundishia na kujifunzia pamoja na vifaa vya maabara na kemikali katika Vyuo vya Ualimu 35 vya Serikali,”amesema Waziri Mkenda.

VITABU

Prof Mkenda amesema Serikali itaendelea kuimarisha upatikanaji wa vitabu katika ngazi ya elimu ya awali, msingi na sekondari kwa lengo la kuimarisha uwiano wa kitabu kwa mwanafunzi na hivyo kuboresha ufundishaji, ujifunzaji na kujenga tabia ya kujisomea.

“itachapa na kusambaza vitabu vya kiada na kiongozi cha Mwalimu kwa Elimu ya Awali nakala 6 kwa shule zinazotumia Kiswahili na nakala 6 kwa shule zinazotumia Kiingereza.

“ Darasa la kwanza nakala 6 kwa shule zinazotumia Kiswahili na nakala 6 kwa shule zinazotumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia.

“ Darasa la III nakala 12 kwa shule zinazotumia Kiswahili na nakala 12 kwa shule zinazotumia Kiingereza,vitabu vya kiada nakala 31 na Kiongozi cha Mwalimu nakala 31 kwa Kidato cha 1, vitabu vya kiada nakala 29 na kiongozi cha mwalimu nakala 29 kwa kidato cha 5,”amesema Waziri Mkenda.

UTAFITI

Waziri Mkenda amesema Serikali itaendelea kufanya tafiti katika ngazi ya elimu msingi, Sekondari na vyuo vya ualimu kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa kutekeleza.

Amesema itafanya utafiti katika maeneo matatu na itatoa ushauri elekezi katika maeneo ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu kwa lengo la kutatua changamoto zinazojitokeza katika eneo la uongozi na usimamizi wa elimu.

Pia itafanya utafiti katika maeneo mawili ya tathmini ya upimaji wa Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji.

Vilevile  itafanya utafiti tatuzi katika maeneo matatu ya kielimu katika Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu kwa ajili ya kubaini mafanikio na changamoto za utoaji wa elimu nchini na kutoa mapendekezo stahiki.

TEHAMA

Amesema Serikali itaboresha mfumo wa kufundishia na kujifunzia kwa Elimu ya Sekondari na kuandaa maudhui ya kidijiti yatakayoimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa kutumia Tehama.

Pia itaendelea  kuimarisha utoaji wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) kwa kutumia TEHAMA kupitia mfumo wa kujifunzia na kufundishia.

MIUNDOMBINU

Serikali itaendelea kujenga na kukarabati miundombinu ya maktaba kwa lengo la kuboresha mazingira ya kujisomea na kujifunza

“itaendelea na ujenzi wa jengo la maktaba ya Taifa Makao Makuu Dodoma litakalohifadhi nyaraka na machapisho kwa lengo la kutunza historia, maarifa, maadili, mila na desturi za Mtanzania.

“Itajenga maktaba ya Mkoa wa Singida ambayo itawezesha upatikanaji wa huduma za maktaba kwa wananchi zikiwemo huduma za rejea (reference sections), usomaji, kujifunza, utafiti na sehemu za huduma za jamii ikiwemo michezo ya watoto,”amesema Waziri Mkenda.

About the author

Alex Sonna