Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akivalishwa vazi la kuwa kiongozi wa jamii ya kimaasai na Laighwanani Mkuu wa Jamii ya Wamaasai Tanzania Isack Ole Kisongo Meijo mara alipowasili katika eneo la Mto wa Mbu Wilaya ya Monduli mkoani Arusha leo tarehe 16 Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasalimu wananchi wa Monduli mara baada ya kuwasili eneo la Mto wa Mbu akiwa ziarani mkoani Arusha leo tarehe 16 Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Monduli mara baada ya kuwasili eneo la Mto wa Mbu akiwa ziarani mkoani Arusha leo tarehe 16 Mei 2023.