Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA MAJALIWA AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki bungeni Jijini Dodoma, Mei 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor