Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

pusulabet

Featured Kitaifa

JAFO ATOA MAELEKEZO MRADI WA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI KONDOA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Halmashauri ya Kondoa mkoani Dodoma leo Mei 09, 2023 alipofanya ziara ya kukagua Mradi wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza usalama wa chakula (LDFS) unaotekelezwa katika halmashauri hiyo na kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikagua …. Mei 09, 2023 katika Kijiji cha Halmashauri ya Mkalama mkoani Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza usalama wa chakula (LDFS) unaotekelezwa katika halmashauri hiyo na kuratibiwa na Ofisi ya Makamu Rais.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo katika kijiji  leo Mei 09, 2023 unaotekelezwa kupitia Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza usalama wa chakula (LDFS) unaotekelezwa katika halmashauri hiyo na kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameielekeza Halmashauri ya Kondoa mkoani Dodoma kumaliza miradi ya kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi ifikapo Julai 15, 2023.

Ametoa maelekezo hayo leo Mei 09, 2023 alipofanya ziara ya kukagua shughuli za Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza usalama wa chakula (LDFS) na kubaini kutokamilika kwa uchimbaji wa visima virefu vya
maji safi wakati tayari Serikali ilishapeleka fedha.

Dkt. Jafo alisema Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inaratibu miradi na kutoa fedha ili wataalamu wa halmashauri watekeleze miradi lakini wameonesha kusuasua na hivyo wananchi kukosa huduma ya maji.

Alisema suala mazingira ni mtambuka hivyo lengo la mradi ni kuwanufaisha wananchi ili waweze kufanya shughuli mbadala za kiuchumi na kuachana na shughuli zinaazohusiana na uharibifu wa mazingira.

“Mkurugenzi nakutegemea kusimamia wataalamu wako wa halmashauri na RUWASA Kondoa ili uchimbaji wa visima ukamilike kwa wakati wananchi wamechoka kusubiri toka mwezi Oktoba mpaka leo mnasuasua wakati Serikali tayari ilishawaletea fedha,“ alisema.

Alisema suala la mazingira ni mtambuka na ndio maana Ofisi ya Makamu wa Rais inaratibu miradi inayohusisha ufugaji, kilimo, maji na ardhi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi hivyo lazima kulinda mazingira na ndiyo maana Serikali ikapeleka mradi huu kwa wananchi wa halmashauri hiyo ili wapate shughuli mbadala za kiuchumi za kufanya pamoja na kuathiriwa na mabadiliko ya tabianchi.

Katika hatua nyingine amekagua shamba darasa la ng’ombe wa maziwa la kikundi cha UHAI katika Kijiji cha Mafai pamoja na ujenzi wa eneo la ukusanyaji maziwa, kisima, kikundi cha shamba la mfano la ufugaji nyuki pamoja na kilimo hifadhi cha zao la mahindi kwa kutumia teknolojia.

Katika miradi hiyo, Dkt. Jafo amewapongeza kwa utekelezaji na kusema ameridhishwa kwani pamoja na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi inayoathiri kilimo mradi huo unasaidia wakulima kupata tija.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Dkt. Khamis Mkanachi alisema miradi hiyo imeleta manufaa makubwa kwa wananchi wilayani humo hasa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Alisema miradi hiyo hususan wa ng’ombe utaongeza thamani ya mifugo ambapo kupitia kilimo cha mahindi cha teknolojia ya kisasa inawasaidia wananchi kupata mazao na hivyo kukuza uchumi wao.

“Tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea fedha za mradi na hivyo nakuahidi changamoto hizi ulizozikuta hapa tutazifanyia kazi,“ alisema.

Mradi wa LDFS unaofadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) unatekelezwa pia katika Halmashauri zingine ikiwemi Nzega (Tabora), Magu (Mwanza), Kondoa
(Dodoma) na Micheweni (Kaskazini, Pemba).

About the author

Alex Sonna