Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

betpuan

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

royalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

meritking

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

Featured Kitaifa

DC MALISA ATAKA VIONGOZI WA UMMA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO.

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Wilaya ya  Mbeya Mjini Mhe. Benno Malisa  akifungua  mafunzo  kwa  Viongozi  wa  Umma kutoka  Halmashauri ya Jiji la  Mbeya na  Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.   Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Jengo la NHIF leo Mei 5,2023 Jijini Mbeya.

Katibu Msaidizi Kanda ya Nyanda za juu kusini -Mbeya Bw. Pauline Kanoni akitoa neno la ufunguzi katika hafla ya mafunzo kwa Viongozi wa Umma kutoka  Halmashauri ya  Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Jengo la NHIF leo Mei 5,2023 Jijini Mbeya.

Afisa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa  Umma kanda ya Nyanda za juu kusini- Mbeya Bw.Limuli Kibona  akitoa mada kuhusu  Maadili ya Viongozi wa Umma na Tamko la Rasilimali na Madeni katika mafunzo ya Viongozi kutoka Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya yaliyofanyika katika ukumbi wa jingo la NHIF leo Mei 5,2023 Jijini Mbeya.

Afisa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma Bw, Evarist Msakila akitoa mada kuhusu Hati ya Ahadi ya Uadilifu katika mafunzo ya Viongozi kutoka Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya yaliyofanyika katika ukumbi wa jingo la NHIF leo Mei 5,2023 Jijini Mbeya.

Na.Mwandishi Wetu-MBEYA

MKUU  wa Wilaya ya Mbeya Mjini  Mhe. Benno Malisa,amewataka Viongozi  wa  Umma  kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza katika kutekelezaji majukumu yao ya kila siku. 

Hayo ameyasema wakati  akifungua mafunzo kwa Viongozi wa Umma wa Halmashauri mbili za Mkoa wa Mbeya ambazo ni halmashauri ya Jiji la Mbeya  na halmashauri ya Mbeya DC  yaliyoandaliwa na Sekretariti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yalifanyika katika Ukumbi wa Jengo la NHIF Jijini Mbeya.

o Mhe. Malisa alieleza kuwa ni dhahiri kuwa Viongozi wote katika Halmashauri hizo wanapaswa kufanya kazi kwa kushirikiana kwa pamoja , kuwa na mawazo na uelekeo mmoja ili kurahisisha utekelezaji wa shughuli zote za serikali na kuweza kuleta matokeo chanya kwa wananchi na serikali kwa ujumla.

Mhe. Malisa alifafanua kuwa serikali inapeleka fedha  nyingi  sana katika halmashauri mbalimbali  nchini kwa sababu ndipo kunakotekelezwa miradi mingi inayowagusa wananchi moja kwa moja kama vile maji, elimu , afya na nyingine nyingi

“Ndugu zangu  fursa hii tukaitumie vizuri ili matokeo ya fedha hizi yakaonekane wazi huu sio muda wa  kulumbana, sio muda wa kususiana majukumu,sio muda wa kunyoosheana vidole bali ni muda wa kuunda timu moja  , ni muda wa kila mmoja kuwajibika ipasavyo katika nafasi aliyo nayo na  kufanya kazi kwa bidii ili tukaaminike kwa viongozi wetu wa juu  ” alisema.

Aidha Mhe. Malisa aliendelea kusema kuwa  Viongozi wanapowajibika kwa pamoja itarahisha utendaji kazi wao wa kila siku wa kuhakikisha kuwa wananchi wanatekelezewa miradi yote kama ilivyopangwa jambo linakalowafanya wananchi  kuwa na Imani na viongozi wao na kuiamini serikali kwa ujumla wake “Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu” alisema.

Pamoja na hayo Mhe. Malisa alizungumzia suala  la mgongano wa maslahi kuwa limekua ni tatizo kubwa sana katika Halmashauri nyingi nchini. Suala hili limekua na changamoto nyingi katika kutekeleza miradi mbalimbali, Kiongozi anapokua na maslah binafsi katika mradi  fulani husababisha kucheleweshwa kwa miradi hiyo ama kutekelezwa kwa kiwango kisichoridhisha ama kutokutekeleza kabisa kutokana na mvutano unaokuepo  baina ya watekelezaji kwa sababu ya maslah binafsi.” Viongozi wenzangu hatukuteuliwa tukafanye kazi kwa kuangalia maslah yetu binafsi, tumeteuliwa tukawatumikie wananchi bila kutanguliza maslah yetu mbele tukatangulize maslah ya wananchi na Taifa kwa ujumla: alisema.

Awali akielezea dhumuni kubwa la   mafunzo hayo Katibu Msaidizi Kanda  ya  Nyanda za Juu kusini -Mbeya Bw, Pauline  Kanoni alisema kuwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ina jukumu kubwa la kutoa elimu ya maadili kwa Viongozi wa Umma nchini ili kuwa na Viongozi waadilifu na wenye kuaminika kwa wanachi wao.

Pamoja na hayo Bw. Kanoni alisema kuwa mafunzo hayo yana lengo la kuwakumbusha Viongozi kuhusu Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Namba  13  ya mwaka 1995. Katika kuzingatia sheria hii yapo mambo ambayo viongozi  wanapaswa kuzingatia wanapotekeleza majukumu yao  kwa kuzingatia kanuni za Maadili pamoja na misingi ambayo imewekwa kulingana na sheria na katiba , kuwa wawazi kwenye shughuli wanazofanya na kutumia rasilimali za Umma vizuri.

” Niwaase Viongozi kuwa na uwajibikaji wa pamoja katika kutekeleza majukumu yenu kwani haiwezekani Kiongozi anakwenda kinyume na maelekezo ya serikali , unakuta kingozi huyu anasema hivi mwingine anasema hivi hayo sio maadili viongozi wote wanapaswa kuwa na kauli moja“ alisema.

“Tunajua viongozi wetu sio kwamba hamna Maadili tunajua kuwa ni waadilifu wa kutosha lakini tumekuja kukumbushana tuu kwa sababu tunajua binadamu tunasahau hivyo tunakumbushana nini tunapaswa kufanya nini hatupaswi kufanya wakati wa utekelezaji wa majukumu yetu kwani kiongozi akikiuka maadili anaitia doa serikali yetu” alisema 

Naye mshiriki wa mafunzo hayo  Afisa Kilimo katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bi. Amina Nalicho alisema kuwa ili kuweza kupata matokeo chanya kwa  serikali na wanachi  ni dhahiri kuwa Viongozi wanapaswa kufanya kazi kwa pamoja   “ kuna msemo usemao kidole kimoja hakivunji chawa” alisema. 

Katika mafunzo hayo ya siku moja yalitolewa  kwa viongozi wapya ambao ni wakuu wa idara na vitengo kutoka Halmashauri ya  Mbeya Jiji pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya .

Mada mbalimbali ziliwasilishwa ikiwa ni pamoja na Mada ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Tamko la Rasilimali na madeni, mada ya Ahadi ya Uadilifu,Mada ya Mgongano wa maslah Pamoja na mada ya uwajibikaji wa Pamoja.

About the author

Alex Sonna