Mwenyekiti wa Makatibu Muhtasi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi Janeth Mwamanga, akizungumza jambo wakati akiwaaga Makatibu Mhutasi wa Wizara hiyo waliostaafu (kulia), Bi. Teddy Kasiga, Bi. Dionisia Mkoma, Bi. Shellah Juma, Bi. Jestina Chang’a, Bi. Hawa Karuma, Bi. Asha Bongi, Bi. Hojo Pazi, na Bi. Asha Majura, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Mkoa wa Dodoma, Bi. Conjeta Chambila, akiwataka Makatibu Muhtasi wa Wizara ya Fedha na Mipango, kufanyakazi kwa weledi na kwa kuzingatia maadili ya taaluma hiyo, wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Mhutasi wa Wizara hiyo waliostaafu, iliyofanyika jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Mkoa wa Dodoma, Bi. Conjeta Chambila (kulia) akiwaongoza kukata keki Makatibu Muhtasi wastaafu, wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Teddy Kasiga, Bi. Dionisia Mkoma, Bi. Shellah Juma, Bi. Jestina Chang’a, Bi. Hawa Karuma, Bi. Asha Bongi, Bi. Hojo Pazi, na Bi. Asha Majura, wakati wa hafla ya kuwaaga, iliyofanyika jijini Dodoma.

Katibu Muhtasi mstaafu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Asha Majura, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Mkoa wa Dodoma, Bi. Conjeta Chambila, wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Muhtasi wa Wizara hiyo waliostaafu, wakiwemo Bi. Teddy Kasiga, Bi. Dionisia Mkoma, Bi. Shellah Juma, Bi. Jestina Chang’a, Bi. Hawa Karuma, Bi. Asha Bongi, na Bi. Hojo Pazi, hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Baadhi ya Viongozi wa Makatibu Muhtasi wakifurahia jambo na kutakiana heri, wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Muhtasi wa Wizara hiyo waliostaafu, Bi. Teddy Kasiga, Bi. Dionisia Mkoma, Bi. Shellah Juma, Bi. Jestina Chang’a, Bi. Hawa Karuma, Bi. Asha Bongi, Bi. Hojo Pazi, na Bi. Asha Majura, iliyofanyika jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Mkoa wa Dodoma, Bi. Conjeta Chambila (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Muhtasi wastaafu na waliopo kazini wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Muhtasi wa Wizara hiyo waliostaafu, Bi. Teddy Kasiga, Bi. Dionisia Mkoma, Bi. Shellah Juma, Bi. Jestina Chang’a, Bi. Hawa Karuma, Bi. Asha Bongi, Bi. Hojo Pazi, na Bi. Asha Majura, iliyofanyika jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)

Previous articleMAANDALIZI BAJETI 2023/24 KUZINGATIA JINSIA
Next articleNAIBU WAZIRI ASISITIZA KAMPUNI ZA MADINI KUTOA FURSA ZA AJIRA, ZABUNI KWA WATANZANIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here