Featured Kitaifa

MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika Maadhimisho ya miaka 30 ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani Kitaifa katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waandhishi wa Habari  katika Maadhimisho ya miaka 30 ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani Kitaifa katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor