Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

holiganbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA:FUATENI TARATIBU ZA MITIHANI ZILIZOWEKWA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa watahiniwa wanaonza mitihani kuzingatia masharti na taratibu zote za mitihani.

Waziri Mkenda ametoa wito huo jijini Dodoma wakati akitoa salamu za kheri kwa watahiniwa hao ambapo amesema kutozingatia taratibu hizo kunaweza kupelekea kufutiwa matokeo.

Amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kali dhidi ya wote wanaojihusisha na wizi na udanganyifu wa mitihani na kuwataka walimu, wasimamizi, wazazi na walezi kwa pamoja kuhimiza watahiniwa kufuata masharti na taratibu za mitihani zilizowekwa.

“Tutakosea sana tukifumbia macho suala la wizi na udanganyifu wa mitihani, kufumbia macho au kunyamaza hakuondoi tatizo, kutokukemea na kutochukua hatua dhidi ya wizi na udanganyifu kunalea tatizo hili na kulikuza,”amesisitiza Prof. Mkenda

Amesema udanganyifu unaleta madhara ikiwemo kunaondoa haki kwa watahiniwa, kudidimiza weledi kwenye taifa na kuharibu malezi ya watoto kwa kuwafundisha udanganyifu

“Pamoja na kwamba wizi na udanganyifu wa mitihani hapa nchini ni mdogo sana ni wazi tusipoziba ufa tutajenga ukuta,”amesema Prof. Mkenda

Ameongeza “Tunao maofisa wa Serikali ambao wapo mahabusu wakikabiliwa na mashtaka ya wizi na udanyanyifu wa mitihani, zipo shule chache ambazo zimefutwa kama vituo vya mitihani kwa sababu ya wizi na udanganyifu wa mitihani kama itatulazimu tutachukua hatua kali zaidi ikiwa ni pamoja na kufuta usajiliwa shule zinazoratibu udanganyifu wa mitihani,”amesisitiza Prof. Mkenda

Prof. Mkenda ametumia nafasi hiyo kuwaomba watanzania wote kusimama pamoja na kukemea wizi na udanganyifu wa mitihani na endapo kutakuwa na dalili ya wizi au udanganyifu wa mitihani kutoa taarifa kupitia namba ya simu ya mkononi 0759 360 000 au barua pepe esnecta@necta.go.tz

About the author

Alex Sonna