Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Uncategorized

KAMBI YA MATIBABU YA MOYO YAOKOA MILIONI 493

Written by Alex Sonna

Wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakishirikiana na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Africa  la nchini Marekani kumfanyia  upasuaji wa tundu dogo kwa kutumia mtambo  wa Cath lab mgonjwa mwenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo leo jijini Dar es Salaam. Wagonjwa 15 wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo wamepatiwa matibabu katika kambi hiyo.

Wataalamu wa afya ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Cardiography – ECHO) mgonjwa ambaye ana matatizo za mfumo wa umeme wa moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo leo jijini Dar es Salaam. Wagonjwa 15 wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo wamepatiwa matibabu katika kambi hiyo.

Wataalamu wa afya ya Taasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakishirikiana na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakiandaa vifaa kwa ajili ya kumfanyia upasuaji wa moyo mgonjwa ambaye ana matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo  wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo leo jijini Dar es Salaam. Wagonjwa 15 wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo wamepatiwa matibabu katika kambi hiyo.

Picha na: JKCI

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeokoa kiasi cha shilingi milioni 493 ambazo Serikali ingetumia kama wagonjwa 15 wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo wangepelekwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu hayo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dkt. Peter Kisenge alisema katika kambi hiyo maalum ya siku tano ya matibabu ya moyo iliyofanywa na wataalam wa afya wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wameweza kuwafanyia upasuaji wagonjwa ambao walihitaji kurekebishiwa mfumo wa umeme wa moyo kwa ufasaha wa hali ya juu.

Dkt. Kisenge alisema pamoja na wataalam hao kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa pia wametoa mafunzo kwa wataalam wa afya wa JKCI hivyo kuendelea kuboresha huduma za matibabu ya mfumo wa umeme wa moyo katika Taasisi hiyo.

“Gharama za matibabu za wagonjwa hawa 15 ni shilingi milioni 253 lakini kama wagonjwa hawa wangeenga kutibiwa nje ya nchi wangetumia shilingi milioni 746. Serikali imeweza kuokoa kiasi cha shilingi milioni 493 kwa wagonjwa hawa kutibiwa ndani ya nchi”, alisema Dkt. Kisenge

Aidha Dkt. Kisenge amewaomba wananchi kukata bima za afya ili kupata huduma za matibabu kwa urahisi pale wanapohitaji huduma hizo kwani matibabu ya kibingwa ya magonjwa ya moyo ni ya gharama.

“Bima ya afya kwa wote itakapoanzishwa nawaomba wananchi mjitokeze ili mpate fursa ya kupata matibabu kwa urahisi kwani ugonjwa utokea wakati wowote na unaweza kukukuta hauna fedha lakini unapokuwa na bima ya afya itakupa urahisi wa kupata matibabu”, alisema Dkt. Kisenge

Kwa upande wake Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na mfumo wa umeme wa moyo wa JKCI Yona Gandye alisema katika kambi hiyo wamewatibia wagonjwa ambao mapigo yao ya moyo yalikuwa chini na wengine  mapigo yao ya moyo yalikuwa juu sana .

“Tumewatibia wagonjwa ambao mapigo yao ya moyo yanazalishwa kwa kiwango cha chini sana  kwa kuwawekea kifaa kisaidizi cha moyo ambacho kinausaidia moyo kufanya kazi vizuri (pace maker) na wale ambao mapigo yao ya moyo yako juu sana  tumeyapunguza kwa kutumia mtambo wa Carto 3”, alisema Dkt. Gandye.

 “Katika kambi hii wagonjwa sita walikuwa na matatizo katika mfumo wa uzalishaji wa mapigo ya moyo hivyo mioyo yao kwenda haraka sana na kusababisha moyo kutanuka, wagonjwa wawili walibadilishiwa vifaa visaidizi vya moyo  vilivuokuwa vimeisha muda wake”,

“Wagonjwa watano ambao mapigo yao ya moyo yalikuwa chini waliwekewa vifaa visaidizi vya moyo (pace maker) hawa mapigo yao ya moyo yalikuwa yapo chini sana, na wagonjwa wengine wawili mapigo yao ya moyo upande wa kushoto yalikuwa hayazalishi umeme wa moyo vizuri”, alisema Dkt. Gandye.

Naye Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na mfumo wa umeme wa moyo kutoka Shirika la Madaktari Afrika lililopo nchini Marekani Prof. Matthew Sackett alisema wamekuja katika Taasisi hiyo kuboresha huduma za matibabu kwa wataalam wa afya wa JKCI kuifanya Taasisi hiyo kuwa kituo cha kibingwa cha matibabu ya moyo kusini mwa jangwa la Sahara.

“Nchi nyingi za ulaya hutoa matibabu haya, tukaona ni vyema tusogeze huduma hizi na nchi za Afrika ili nao waweze kupata huduma kwa urahisi na kwa karibu ndio maana tumeendelea kushirikiana na Taasisi hii kuboresha huduma za matibabu ya mfumo wa umeme wa moyo”, alisema Prof. Sackett

About the author

Alex Sonna