Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet

robinbet

robinbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

kingroyal

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

imajbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Featured Kitaifa

CHUO CHA MZUMBE WABUNI MIFUMO YA UTOAJI HUDUMA KWA MADAKTARI WANAOZUNGUKA KWENYE WODI 

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Bi.Rose Joseph,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye banda la Chuo hicho katika  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayofanyika  uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Sayansi za Komputa, Dk.Moris Daudi, akielezea jinsi wanavyotengeneza bunifu zao katika kuchangia uchumi shindani wakati akizungumza na  waandishi wa habari kwenye banda la Chuo hicho katika  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayofanyika  uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Wanafunzi mbalimbali wakipata maelezo kwenye banda la Chuo Kikuu cha Mzumbe katika  Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayofanyika  uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wamebuni mifumo mbalimbali ya kiteknolojia itakayolisaidia taifa katika usalama barabarani.

Mifumo mingine ni kusaidia utoaji huduma kwa madaktari wanaozunguka kwenye wodi na namna ya kumlinda mtoto asitoke mbali na nyumbani.

Akizungumza kwenye banda la Chuo Kikuu cha Mzumbe kwenye maonesho ya wiki ya ubunifu inayofanyika uwanja wa jamhuri Dodoma, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa chou hicho,Bi. Rose Joseph, amesema bunifu hizo zitaleta chachu na kuchangia uchumi wa taifa.

Amesema maonesho hayo yamekuwa chachu ya kuonesha vipaji na kubaini na kuimarisha mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wanaosoma masuala ya sayansi na teknolojia.

“Chuo cha Mzumbe kimebobea katika Nyanja mbalimbali lakini mojawapo ni sayansi na teknolojia na kila mwaka tunazalisha vijana ambao wamebobea masuala ya teknolojia, uhandisi na mengine, hii ni fursa ya vijana kuonesha bunifu zao zinazotatua changamoto za taifa,”amesema.Bi.Rose

Naye, Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Sayansi za Komputa, Dk.Moris Daudi, amesema wamekuwa wakishirikiana na wanafunzi kuwajenga kuwa wabunifu ili bunifu zao kuchangia uchumi shindani.

Amebainisha kuwa mfumo wa usalama barabarani ni pale magari yanapoharibika barabarani na madereva kusimamisha pembeni kutengeneza yamekuwa yakisababisha ajali hivyo mfumo huo unalenga kumpa taarifa dereva anayekuja kuwa eneo fulani gari limeharibika ili achukue tahadhali.

“Tunaongezea pia uwezo mfumo kuna baadhi ya matuta yanayowekwa barabarani huwa hayana alama hivyo tunamuongezea uwezo dereva anapokuja aone vizuri, kwa kutumia simu yake,”amesema Dkt.Daudi

Kuhusu mfumo wa kumsaidia daktari kuhudumia wagonjwa wodini, Dk.Daudi amesema mfumo unawezesha kuwekwa kifaa maalum kwenye kitanda cha mgonjwa ili daktari asisumbuke kutembea na karatasi na kujua taarifa za madaktari waliopita kwa mgonjwa.

“Bunifu ya tatu inahusu namna ya kutafuta mtoto, mtoto kuna kifaa anavalishwa kinakuwa ni kidogo mzazi au mwangalizi nyumbani anabaki na simu pale, yule mtoto akitoka mbali zaidi kinampa alarm inakuwa rahisi kumfuata na kumrudisha,”amesema.

About the author

Alex Sonna