Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA, KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE WAFANYA MAZUNGUMZO NA KAMATI TEULE YA MHE. RAIS YA KUTATHMINI UFANISI NA UTENDAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Written by mzalendoeditor

 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wajumbe wa Kamati teule ya Mhe. Rais ya kutathmini ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakiongozwa na Mwenyekiti, Balozi Mstaafu, Mhe. Hassan Yahya (Kulia kwake) walipomtembelea leo tarehe 21 Aprili, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati teule ya Mhe. Rais ya kutathmini ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mstaafu Hassan Yahya akizungumza jambo wakati wa kikao kati ya Wajumbe wa kamati hiyo na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichofanyika leo tarehe 21 Aprili, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor