Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

radissonbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

Featured Kitaifa

HOSPITALI YA RUFAA SHINYANGA YAANZA KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI WA MIFUPA

Written by Alex Sonna

 

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila (kushoto) akipokea Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga

 

 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga imetangaza kuanza kutoa huduma mpya ya Upasuaji wa mifupa ambayo kwa muda mrefu wananchi wa Shinyanga wamekuwa wakihangaika wanapopata changamoto ya kuvunjika kwa mifupa na kulazimika kusafiri kwenda katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza.
 
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Ijumaa Aprili, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila amesema kupitia urafiki wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga na Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma wamepata udhamini wa vifaa kwa ajili ya Operesheni ya mifupa kupitia Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma kwa ufadhili wa SIGN Fracture Care International.
 
“Kupitia huduma hii tulipata madaktari bingwa wawili kutoka Hospitali ya Rufaa Dodoma ambao tumekuwa nao tangu Aprili 17,2023 mpaka leo kwa ajili ya kuona wagonjwa wenye shida au changamoto ya mifupa na wengine pia wamefanyiwa Operesheni lakini pia kuwajengea watumishi wenzetu wa Hospitali ya Rufaa Shinyanga kuwa na uwezo wa kufanya hizo Oparesheni za mifupa. 
Sambamba na hayo tuna Daktari wetu Bingwa tulimtuma Hospitali ya Rufaa ya Dodoma ambaye amekaa kwa muda wa mwezi mzima kwa ajili ya kujijengea uwezo wa kufanya Oparesheni za mifupa”, amesema Dkt. Luzila.
 
 
Dkt. Luzila ameishukuru sana Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya upatikanaji wa huduma hiyo ya oparesheni ya mifupa katika hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga ili kupunguza changamoto ya wagonjwa kupelekwa Bugando
 
 
“Vifaa hivi tulivyopata tumepata seti moja ambayo ina uwezo wa kuhudumia wagonjwa 28 kwa sasa hivi na kadri vifaa vitakavyokuwa vikitumika tutakuwa tunaomba vingine kwa ajili ya kuendeleza huduma hii ya upasuaji wa mifupa”,amesema Dkt. Luzila.
 
 
Kwa upande wake, Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dkt. Hamis Paul Mpigahodi ambaye ni Mkuu wa Idara ya Upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Mkoawa Shinyanga amesema sasa wakazi wa Shinyanga watanufaika na huduma ya upasuaji wa mifupa badala ya kutumia muda mwingi na gharama kusafiri kwenda Bugando kupata huduma hiyo.
 
 
Naye Daktari Bingwa wa Mifupa kutoka Hospitali ya Rufaa Dodoma, Dkt. Lusekelo William akizungumza wakati wa kukabidhi Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga amewaomba wananchi wa mkoa wa Shinyanga kufika katika hospitali ya rufaa Mkoa wa Shinyanga kupata huduma hiyo kwa watoto na watu wazima hakuna madhara na vyuma vinatolewa mfupi baada ya mgonjwa kupona.
 
 
Nao baadhi ya wagonjwa walionufaika na huduma hiyo ya upasuaji akiwemo bi. Sinzo Ongalla na bw. Lotih Nkango wameishukuru Serikali kusogeza karibu huduma ya upasuaji badala ya kusafiri kwenda Bugando kupata huduma hiyo.
 
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila akielezea kuhusu huduma mpya ya Upasuaji wa mifupa mirefu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila akielezea kuhusu huduma mpya ya Upasuaji wa mifupa mirefu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga. 
 Daktari Bingwa wa Mifupa kutoka Hospitali ya Rufaa Dodoma, Dkt. Lusekelo William akielezea kuhusu huduma mpya ya Upasuaji wa mifupa mirefu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga. 
Daktari Bingwa wa Mifupa kutoka Hospitali ya Rufaa Dodoma, Dkt. Lusekelo William akielezea kuhusu huduma mpya ya Upasuaji wa mifupa mirefu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga. 
 Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dkt. Hamis Paul Mpigahodi ambaye ni Mkuu wa Idara ya Upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Mkoawa Shinyanga akielezea kuhusu huduma mpya ya Upasuaji wa mifupa mirefu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga. 
Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga
Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila (kushoto) akipokea Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila (kushoto) akipokea Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila (kushoto) akipokea Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga
Bi. Sinzo Ongalla mmoja wa wakazi wa Shinyanga walionufaika na huduma ya upasuaji mifupa akiishukuru Serikali kusogeza karibu huduma ya upasuaji mkoani Shinyanga badala ya kusafiri kwenda Bugando Jijini Mwanza kupata huduma hiyo.
Bw. Lotih Nkango mmoja wa wakazi wa Shinyanga walionufaika na huduma ya upasuaji mifupa akiishukuru Serikali kusogeza karibu huduma ya upasuaji mkoani Shinyanga badala ya kusafiri kwenda Bugando Jijini Mwanza kupata huduma hiyo.
Muonekano wa picha ya mfupa uliovunjika kabla ya kufanyiwa upasuaji
Muonekano wa picha ya mfupa uliovunjika baada ya kufanyiwa upasuaji
Muonekano wa picha ya mfupa uliovunjika kabla ya kufanyiwa upasuaji
Muonekano wa picha ya mfupa uliovunjika baada ya kufanyiwa upasuaji

About the author

Alex Sonna