Featured Michezo

MERIDIANBET YAZINDUA DUKA JIPYA VINGUNGUTI RELINI

Written by mzalendoeditor

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/EksK6q

Meridianbet wataalamu na wakongwe wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA wameendelea kutanua wigo wa huduma kwa wateja wake baada ya kufungua duka lingine mitaa ya Vingunguti Relini  jijini Dar-es-salaam. Duka ambalo litakua limesheheni michezo mingi ya kubashiri kuanzia mpira wa miguu, Tenesi,,mpira wa wavu pamoja na michezo ya kasino mitandaoni.

Wababe hao wa michezo ya kubashiri wamekua na kampeni ya kuhakikisha wanawafikia wateja wake kwa karibu  zaidi kwa kuwasogezea huduma  popotewalipo, Na ndiyo imekua sababu kubwa ya kampuni hiyo kufungua maduka maeneo mengi ndani na nje ya  jiji la Dar-es-salaam kwa ajili ya kuendelea kuimarisha na kusogeza huduma kwa wateja wake.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kauli mbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona  ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka  soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hata kama hujui mpira unaweza kuucheza.

Baada ya kufanyika uzinduzi wa duka hilo maeneo ya Vingunguti Relini mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Meridianbet Bwana Matina Nkurlu alizungumza na kusema “Tunayofuraha kubwa kufanya uzinduzi wa duka hili la kubashiri maeneo ya Vingunguti relini jijini Dar-es-salaam ni muendelezo wa kusogeza huduma kwa wateja wa michezo ya kubashiri kwa wakazi wote wa eneo hili”

Vilevile Matina alieleza wamefungua duka hilo na kuboresha zaidi huduma wameongeza vifaa bora kwa maana ya mashine ilikuweka urahisi kwa wateja wake waweze kubashiri kwenye mazingira bora kabisa”Alisema bwana Matina Nkurlu.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker,Aviator, Roulette.

Vile vile baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya  Vingunguti relini wakazi wa maeneo hayo wameonesha kufurahishwa na kitendo cha kampuni hiyo kufungua duka hilo maeneo hayo, Litawasaidia kubashiri kwa wepesi kwani walikua wakilazimika kwenda umbali mrefu kwa jili ya kubashiri lakini sasa wanafuraha kubwa kwakua duka limesogezwa karibu yao lenye huduma bora kabisa.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

About the author

mzalendoeditor