Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kapteni Mstaafu George Mkuchika , bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda, bungeni jijini Dodoma, Aprili 19, 2023.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa. Palamagamba Kabudi (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum Subira Mgalu (katikati)kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chakechake Ramadhan Ramadhan, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor