Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Previous articleHALMASHURI ZAKUMBUSHWA KUWAPATIA WAZEE VITAMBULISHO VYA MATIBABU
Next articleKILA SIKU MERIDIANBET WANATOA SH MIL 90 | CHEZA KASINO USHINDE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here