Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Tunzo maalum ya VIP Global Water Changemarkers Awards,kutoka kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushirika wa Maji Duniani na Kusini mwa Afrika Dk.Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Tunzo maalum ya VIP Global Water Changemarkers Awards,aliyokabidhiwa leo kutokana na juhudi zake kubwa katika kushuhulikia suala la Maji Zanzibar, hafla ya kukabidhiwa imefanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu]