Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

gameofbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat güncel giriş

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

WOMEN FOR CHANGE WATOA MSAADA WA MASHINE ZA KUSAIDIA KUPUMUA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Viongozi wa Kikundi cha Women For Change (kushoto) wakikabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) ambao mapafu hayajakomaa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
  • Mashine za kusaidia watoto kupumua zikiwa kwenye maboksi

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Kikundi cha Wanawake na Mabadiliko Manispaa ya Shinyanga (Women For Change – WFC), kinachojihusisha na Ununuzi wa Hisa ili kuinuana kiuchumi na chenye mfuko wa kusaidia jamii na watoto walioko kwenye mazingira magumu kimetoa msaada wa mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) ambao mapafu hayajakomaa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
 
Women For Change wamekabidhi mashine ‘cPAP’ mbili zenye thamani ya shilingi Milioni 2.4 kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila leo Ijumaa Machi 31,2023 wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Shinyanga, Mrakibu wa Uhamiaji Lydia Angumbwike
 
Akizungumza wakati wa kukabidhi mashine hizo, Mwenyekiti Msaidizi wa Kikundi cha Women For Change, Lucy Mwita amesema mashine hizo zitasaidia kupumua kwa watoto waliozaliwa kabla ya muda ambao mapafu yao hayajakomaa.
 
“Kikundi chetu cha Women For Change, kina wanachama 20, tunajihusisha na Ununuzi wa Hisa ili kuinuana kiuchumi na tuna mfuko wa kusaidia jamii na watoto walioko kwenye mazingira magumu.
 
Tumekuwa tukisaidia katika sekta ya elimu kwa kuchangia madawati,kukarabati mabweni na shughuli mbalimbali, leo tumekuja kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali katika kuboresha sekta ya afya kwa kuchangia mashine hizi (cPAP) zenye thamani ya shilingi milioni 2.4 ili kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti)”,amesema Lucy ambaye ni Mkurugenzi wa Shule za Little Treasures.
 
Kwa upande wake, Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yustina Tizeba amesema hospitali hiyo imekuwa ikipata watoto wengi wanaozaliwa kabla ya muda ‘Pre –mature’ hivyo mashine hizo zitasaidia sana kuokoa maisha ya watoto.
 
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila amekishukuru Kikundi cha wanawake ‘Women For Change’ kwa msaada huo kwani watoto wanaozaliwa kabla ya muda wanapata shida katika upumuaji hivyo wameokoa maisha ya watoto.
Mwenyekiti Msaidizi wa Kikundi cha Women For Change, Lucy Mwita akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ambapo wamekabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mwenyekiti Msaidizi wa Kikundi cha Women For Change, Lucy Mwita akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ambapo wamekabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwanachama wa Kikundi cha Women For Change, MC Mama Sabuni akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ambapo wamekabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa Kikundi cha Women For Change, Ansila Benedict maarufu Lulekia akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ambapo wamekabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa Kikundi cha Women For Change,  Ansila Benedict akikabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Aliyevaa tai katikati ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila.
Viongozi wa Kikundi cha Women For Change (kushoto) wakikabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Aliyevaa tai katikati ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. John Luzila akizungumza wakati Kikundi cha Women For Change kikikabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yustina Tizeba akizungumza wakati Kikundi cha Women For Change kikikabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Wakikundi cha Women For Change wakipiga picha ya kumbukumbu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga walipofika kukabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) 

Wakikundi cha Women For Change wakicheza muziki katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga walipofika kukabidhi mashine za kusaidia kupumua kwa watoto (njiti) 

Watumishi katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

 Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yakiendelea katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yakiendelea katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yakiendelea katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
About the author

Alex Sonna