Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU DKT.SALMIN AMOUR JUMA NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma lipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumsalimia na kumjulia hali yake, (kulia kwa Rais) Mtoto wa Dkt. Salmin Bw. Amini Salmin Amour.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma, alipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa kumsalimia na kumjulia hali yake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Salmin Amour Juma, baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor