Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI ATETA NA WAZIRI WA ELIMU PROF MKENDA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Waziri Elimu,Sayansi na Teknolojia. Mhe.Prof. Adolf Mkenda (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor