Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA WAGONJWA WA DHARURA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA MASWA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa  akikata utepe wakati alipozindua Jengo la  Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi , 26, 2023. Kushoto ni Waziri  Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Jengo la  Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi , 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa hospitali ya wilaya ya Maswa, Dkt James Bwire  (kulia) kuhusu mashine ya X Ray inayohamishika  baada ya kuzindua Jengo la  Wagonjwa wa Dharura, Machi , 26, 2023.  Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wananchi baada ya kuzindua Jengo la  Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi , 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi  wakati alipowasili kwenye hospitali ya wilaya ya Maswa kuzindua Jengo la  Wagonjwa wa Dharura, Machi , 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor