Featured Michezo

MERIDIANBET UZINDUZI DUKA JIPYA FIRE-KARIAKOO

Written by mzalendoeditor

Wataalamu wa michezo ya kubashiriMeridiabet baada ya kusubiri kwa muda duka mitaa ya Fire hatimaye leo hii mtaa wa Fire-Kariakoo kunawaka kwani limezinduliwa duka kwa ajili ya kubashiri michezo mbalimbali huku ODDS BOMBA kama mvua zikimwagika kila siku kazi inabaki kwako tu kuweka dau na kubashiri. Duka hilil itawawezesha wakazi wa Fire na wengine wapita njia kubashiri wa kichagua machaguo zaidi ya 1000 wanayotaka.

Meridianbet wamekua wakizindua maduka kila uchawao ndani ya Jiji la Dar-es-salaam huku kwa sasa ikafika zamu ya Fire-Kariakoo ambapo wamezindua duka jipya ambalo wakazi wa eneo hilo watapata fursa ya kubashiri michezo mbalimbali pamoja na ODDS KUBWA, Vile vile wana Jackpot yao  ya kibabe kabisa yenye bonasi nzuri kuliko sehemu yeyote.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa  sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwa ajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.

Pia tembelea tovuti ya Meridianbet meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Meridianbet pia wanakile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri mubashara mechi hizo.

About the author

mzalendoeditor